Martyr 360
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 433
- 660
[emoji28][emoji28][emoji28]Seriously?
Shida ni Ile move anayokuwanayomuambie 'sista unaondoka na moyo wangu'😂
😂Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu.
Ofcoz inakuwaga mziki sana kuanzisha maongezi kwenye mazingira kama haya, ningependa kwa mwenye trick atusaidie.
Fata hii.Mara nyingi inategemea na movements.. ila hutakiw kumuita au kumsimamisha. Kwa mwanamke anaejielewa hatosimama.
Mwanaume unatakiwa unaunga TELA.. unakaa usawa wa mabega yake na kuanza kuchombeza kwa vimaneno like "Dada unamwendo...punguz bas speed tusalimiane"
Au ukaanza kwa compliments..
"Unanukia vizuri kwa kweli" lazima atabasam..
Akitabasam unampa nyingine "Tabasam lako tu mie hoi, sorry naitwa Mzee wa Bwax ww unaitw nan kama hutojali?".
Nikifuatwa nyuma wakati natembea huwa naogopa na ninaongeza mwendo kumkwepa.Mara nyingi inategemea na movements.. ila hutakiw kumuita au kumsimamisha. Kwa mwanamke anaejielewa hatosimama.
Mwanaume unatakiwa unaunga TELA.. unakaa usawa wa mabega yake na kuanza kuchombeza kwa vimaneno like "Dada unamwendo...punguz bas speed tusalimiane"
Au ukaanza kwa compliments..
"Unanukia vizuri kwa kweli" lazima atabasam..
Akitabasam unampa nyingine "Tabasam lako tu mie hoi, sorry naitwa Mzee wa Bwax ww unaitw nan kama hutojali?".
Mara nyingi inategemea na movements.. ila hutakiw kumuita au kumsimamisha. Kwa mwanamke anaejielewa hatosimama.
Mwanaume unatakiwa unaunga TELA.. unakaa usawa wa mabega yake na kuanza kuchombeza kwa vimaneno like "Dada unamwendo...punguz bas speed tusalimiane"
Au ukaanza kwa compliments..
"Unanukia vizuri kwa kweli" lazima atabasam..
Akitabasam unampa nyingine "Tabasam lako tu mie hoi, sorry naitwa Mzee wa Bwax ww unaitw nan kama hutojali?".
Sasa mbona mnatuchanganya jamanNikifuatwa nyuma wakati natembea huwa naogopa na ninaongeza mwendo kumkwepa.
Labda kuna wanawake wanapenda kufuatwa hiyo style yako. Sijui.
Samahani ikiwa nitakukwaza Dada, kiukweli umejaliwa neema za kipekee sana, hakika unaonekana una mema zaidi ya haya nionayo kwa macho ya nyama katika mwili wako kiuumbwaji.Nikifuatwa nyuma wakati natembea huwa naogopa na ninaongeza mwendo kumkwepa.
Labda kuna wanawake wanapenda kufuatwa hiyo style yako. Sijui.
Saa nyingine mdada anapanik anachan mkeka jumlaNikifuatwa nyuma wakati natembea huwa naogopa na ninaongeza mwendo kumkwepa.
Labda kuna wanawake wanapenda kufuatwa hiyo style yako. Sijui.