Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu.

Ofcoz inakuwaga mziki sana kuanzisha maongezi kwenye mazingira kama haya, ningependa kwa mwenye trick atusaidie.
Kama mwanamke anapita zake mwache apite, usimtokee, hayo ni mambo ya teenagers. Halafu siyo tabia nzuri, ni uhuni kumtokea mwanamke anayepita zake.

ila kama upo kwenye basi, mpo dukani, mmetoka kanisani mnapeana mkono wa heri, mpo chuoni pamoja etc..
Ni vizuri kuwe na kitu kinachowajumuisha, otherwise tafuta rafiki yake umwambie unampenda rafiki yake, there's nothing wrong with it and it's more respectful na uta-stand more chances.
Lazima kuwe na kitu kinachowaunganisha.
 
Hii style yako imenijulisha level zako ni zipi. Wapo labda watakaonasa.
Nimejaribu ku Google apa wanasema tembea naye sambamba ,mwachie umbali WA mita mbili ,kingine usiwe serious tabasamu Kwa mbali, afu usiongee Kwa kujishusha Sana wala usiongee Kwa ujasiri Sana size ya Kati Tu,"sema dada nimeona we PISI KALI Sana nimeona nikupe hai" then achia glachi taratibu uku unavuta mafuta taratibu ukiona inazimazima tuh achana naye
 
Kama mwanamke anapita zake mwache apite, usimtokee, hayo ni mambo ya teenagers. Halafu siyo tabia nzuri, ni uhuni kumtokea mwanamke anayepita zake.

ila kama upo kwenye basi, mpo dukani, mmetoka kanisani mnapeana mkono wa heri, mpo chuoni pamoja etc..
Ni vizuri kuwe na kitu kinachowajumuisha, otherwise tafuta rafiki yake umwambie unampenda rafiki yake, there's nothing wrong with it and it's more respectful na uta-stand more chances.
Lazima kuwe na kitu kinachowaunganisha.
Yaan Gia ya kumwambia rafiki yake huwa haijawahi kufanikiwa ivi unawajua wanawake kweli na kuhakikishia hata mwambia na atahakikisha hauwi naye,na uko unaposema palipotulia utampata mbadala lakin siyo uyo anayepita
 
Unaangusha buku 10 karibu yake halafu unamwambia dada umeangusha hela. Jibu lake baada ya hapo ndio litaamua approach inayofuata. Akidai ni ya wa kwake basi hilo ni gube gube liuza mbwinya hivyo usihangaike na kutongoza wewe tangaza dau lako tu.
MBINU HIYO HAIFAI INAWEZA IKAKULETEA MATATIZO AKIFIKIRI NI ZILE MBINU ZA VIBAKA WA ZAMANI WALIOKUA WANADONDOSHA PESA MAKUSUDI ILI UKIIOKOTA WAKUKABE NA KUKUIBIA.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom