Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Miaka hiyooo bado niko mschana, nilikuwa natembea mtaa mbao unatoka stesheni na kuungana na barabara kuu ya mji husika, (ilikuwa nje ya Dar es Salaam).
Sasa nikiwa natembea pembezoni mwa barabara ghafla likasimama gari aina ya escudo short chases mbele yangu kidogo, ilikuwa inatoka upande huohuo wa stesheni kuelekea barabara kuu, nakumbuka ilikuwa rangi nyeusi.
Halafu aliyekuwa anaendesha akafungua mlango wa abiria akaniambia ingia twende.....!!!
Nikabaki nashangaa, akashuka akazunguka upande wa pili akanifata na kunishika mkono....
Ingia twende......!!! Nikajikuta namtoa mkono wake ulionishika halafu nikamwambia hapana asante.
Hakuongea neno jingine akafunga mlango wake wa abiria akazunguka kwenye gari akaingia barabarani na kuondoka....!!!
Hii taswira imekuwa ikijirudia mara kwa mara kwaye akili yangu kwa muda mrefu sijui kwanini.....🤔🤔🤔🤔
Nabaki najiuliza tuu, hivi ile siku ningeingia kwenye ile escudo nini kingetokea......!!!!
Well sijilaumu ila nililelewa kuwa makini na watu ambao huwafahamu kabisa, nafsi ilisita basi ikaishia hapo.
Ila wanaume mnakuwaga mnarisk sana saa ingine maisha yenu....!!!
Sijui hapo ndo kichwa cha chini kinakuwa kinafanya kazi....!!!!🤷♀️🤷♀️🤷♀️