Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Ngoja niweke kambi hapa nikachukue nondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani ikiwa nitakukwaza Dada, kiukweli umejaliwa neema za kipekee sana kiuumbwaji, hakika unaonekana una mema zaidi ya haya nionayo kwa macho ya nyama katika mwili wako kiuumbwaji.
Naitwa Mr Baba lao, je wewe waitwa nani Mama?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Asipoulizwa kwanini unaniangalia hatombiHii ilishakuwa outdated na wengi wanaifaham na anakushtukia kirahis Tu anakupozea
Mkuu nakuambia kuna demu mkipishana anaenda akitukana kwanini hujamtongoza ,na saa nyingine anasema kimoyomoyo ningekubali tuh hata angeniona Malaya powaa,sasa wewe unajinyima vitu vingi vinavyokuitaji Kwa kujipa majibu,test Tu uendelee kumsoma taratibuu.Kama Hamna common ground mwache. Utamtongozaje mwanamke tu barabarani anatembea? Hata akikubali basi jua huyo mwanamke ni wa wengi. La sivyo, lazima u-establish a common ground.
Anything, there are so many things and places ambapo ukitulia utaipata.
Just chill and watch, don't be p***y hungry.
MunguuHuwa naangalia uelekeo wake kama anaelekea ninakoenda namfata naongozana naanzisha stori
Kama anatokea mbele yangu ile stail ya kupishana hapo simsimamishi nampotezea
Ila demu niliempa lifti kwenye baiskeli yangu huwa simuombi hata namba maana najua ataamini nilimsaidia ili nimtongoze kwahiyo hata awe mzuri vipi sichuki namba yake.
No, nashukuru mungu nimeishi miji na kusoma shule na pisi nyingi sana. Huwa sitongozi barabarani, pia huwa simtokei mwanamke kama sina hela za kutosha.Mkuu nakuambia kuna demu mkipishana anaenda akitukana kwanini hujamtongoza ,na saa nyingine anasema kimoyomoyo ningekubali tuh hata angeniona Malaya powaa,sasa wewe unajinyima vitu vingi vinavyokuita Kwa kujipa majibu,test Tu uendelee kumsoma taratibuu.
Sawa jiwekee mipaka mwenye hata Yule mama mvuja damu alisema mpaka nishike pindo yesu angeondoka ilo pindo angelipata wap na hela za kutosha ni sh ngapNo, nashukuru mungu nimeishi miji na kusoma shule na pisi nyingi sana. Huwa sitongozi barabarani, pia huwa simtokei mwanamke kama sina hela za kutosha.
Sijapata wengi but definitely had my share.
Hilo ni jibu langu kwa ushauri alionipa niliyemjibu. Kwamba niingize tu gia.Sawa jiwekee mipaka mwenye hata Yule mama mvuja damu alisema mpaka nishike pindo yesu angeondoka ilo pindo angelipata wap na hela za kutosha ni sh ngap
Watu ambao wanakulaga chochote kinachokuja kwenye tageti lazima wawe na maprincipleHilo ni jibu langu kwa ushauri alionipa niliyemjibu. Kwamba niingize tu gia.
Ndiyo nikamjibu Mimi huwa sipo hivyo kwa sababu pisi zipo nyingi tu, Hamna haha ya kumtongoza mwanamke barabarani.
Hizi ni principles zangu, nishazoea hivyo.
Kwahio unaona raha sisi kuteseka eeh
Mkimbilie Halafu, Mshike kwa mikono na, mwangalie ndani ya macho, mpeleke kando na umwambie :
Commit a crime and I'll be your defender
Overpower me so that I surrender Hmm,
I wish I could be your saliva
So that I could taste your lips whenever....
Hiki kingereza we ndo ulimfundisha master mpk uwe na 100% assurance atakuelewa?!!Mkimbilie Halafu, Mshike kwa mikono na, mwangalie ndani ya macho, mpeleke kando na umwambie :
Commit a crime and I'll be your defender
Overpower me so that I surrender Hmm,
I wish I could be your saliva
So that I could taste your lips whenever....