The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Hiii kitu haina formula,kuna wanawake visirani nyie hii dunia.. Ukute ambae ana bwana ana iphone 15pro max halafu anaendesha Ka baby walker.Mara nyingi inategemea na movements.. ila hutakiwi kumuita au kumsimamisha. Kwa mwanamke anaejielewa hatosimama.
Mwanaume unatakiwa unaunga TELA.. unakaa usawa wa mabega yake na kuanza kuchombeza kwa vimaneno like "Dada unamwendo...punguza bas speed tusalimiane"
Au ukaanza kwa compliments..
"Unanukia vizuri kwa kweli" lazima atabasam..
Akitabasam unampa nyingine "Tabasam lako tu mie hoi, sorry naitwa Mzee wa Bwax, wewe unaitwa nani kama hutojali?".
Bro sister atasimama akuulize we kaka vipiiiiii exkyuz me