Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Huyo rafiki yake mpaka umwone lini? watu wengine unamuona mara moja tu hutakaa umwone tena.Kama mwanamke anapita zake mwache apite, usimtokee, hayo ni mambo ya teenagers. Halafu siyo tabia nzuri, ni uhuni kumtokea mwanamke anayepita zake.
ila kama upo kwenye basi, mpo dukani, mmetoka kanisani mnapeana mkono wa heri, mpo chuoni pamoja etc..
Ni vizuri kuwe na kitu kinachowajumuisha, otherwise tafuta rafiki yake umwambie unampenda rafiki yake, there's nothing wrong with it and it's more respectful na uta-stand more chances.
Lazima kuwe na kitu kinachowaunganisha.
Binafsi nakua namfata ila sio ile mpaka ajue then nampita kiasi nakua nageuka kumuangalia kwa kuibia hapa unamfanya anakua attention na wewe then unapunguza mwendo akukute unamsalimia yanaanza hapo. Mambo ya kumfuata nyuma nyuma mtakuja kuitiwa wezi.