Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

First you need to upgrade your masculinity from a one from the crowd to one out of the crowd.
Kwanza ukiiweza tu hiyo hatua akikuona atasimama kukupa muda.

Fanya ule umati uamini mnajuana kabla yaani usiende kwa woga wala kwa kujionesha kuwa umeenda kutongoza/kujaribu bahati kwani
mwanaume ni electric na mwanamke ni magnet hivyo mindset ya mwanamke huathiriwa na mazingira ya nje. Aweza akavutiwa na wewe ila akakupiga chini kisa tu kujilinda mbele za watu asionekane ni mtu rahisi au malaya. Kwahiyo hilo ni lakuzingatia kwelikweli unapotaka ku approach mbele ya kadamnasi.

Kama ataendelea kumove ongozana naye kwa muundo usiojionesha kama ndo mara ya kwanza kupata muda wake.

Kuwa mbunifu, usitumie maneno ya direct. Ubaya wa maneno ya direct yanaweza au huwa yanatabia ya kumfanya mwanamke ajihisi kama kavamiwa,hayuko salama,ni lazima akukubalie apende asipende,n.k hivyo kumfanya aandae defense ya kuonesha naye ni shupavu. Ukiweza hili utakuwa umefanikisha kujisogeza kwenye hatua nzuri ya kumpata. Mfano wa maneno ya Ubunifu (kama umepagawa na kalio) badala ya kumwambia 'unatako zuri au nimependa tako lako au nimependa umbo lako' tumia maneno haya kama amevaa sketi mwambie '" nimependa rangi ya hii sketi,kama ni gauni mwambie umependa rangi ya gauni lake.
Kama ulipagawa na mguu mwambie umependa kiatu chake.

Huwa wanatabia ya kuwahi kukuangalia macho akifanya hivyo usioneshe msimamo mkali. Kuwa smoot, little shy lakini unayejua nini unafanya.

Mwambie mahali unapoishi na unajishughulisha na nini.

Now unaweza ukamuomba namba za simu na ukamwambia utamcheki baada ya muda gani. Ukipata namba za simu usisahau kumwambia utampigia baada ya muda gani,hii ni muhimu sana.

Maybe nimekusaidia.

Have a good lucky.



MAGUFULI4LIFE.
 
Class na barabarani mkuu!



MAGUFULI4LIFE.
 
Kwani kutongoza kuna formula ? Sasa wanawake huwa wanatoka wamevalia vizuri wakashangae maghorofa.
?
 

Kweli wewe ni kobello..Duh..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Unataka kumtongoza awe gelofrendi au upunguze upwiru tu?

Maana katika hizo nia kila moja ina mbinu zake...

All in all muonekano wa mwanaume unachangia karibu 70% ya mwanamke kukusikiliza kwa mara ya kwanza hata kama alikuwa na haraka zake...
 
Very compact nitafanyia mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…