Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Issuna

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,203
Reaction score
7,628
Ndo nishamaliza hata sina maneno mengi,maana kila mtu huyu anasifia huyu anaponda,anaesifia Yashamkuta ila anakwambia hakomi ndio life style yake(shauri lako),ana eponda yeye yashamkuta na amekoma Japo wote wanao Ponda nawaona ni kama STAKI NATAKA yani wanapondaaaaa halafu mwisho unamsikia ila FOREX ni real ni kukosa tu mentor mzuri sjui nini fyeke fyeke fyeke kibaoo.

Sasa mimi hata sisemi sana...ntabaki na kuuza vi tecno vyangu na vi itel nyie endeleeeni ila mnachokitafuta mtakipata nawambia Maana Hamkomi yani kwa jinsi nilivyoiona hii Forex kwa ambae hujaianza ni kama ka mdada ambacho hakajawahi ku sex sasa kakisha TOLEWA BKRA anapata maumivu haswaaaa ila pamoja na kuugulia maumivu utamskia Ila Tamuuuu hiyoooo 😆 😆

Sawa Forex ni Tamu endeleeni kupata Utamu ila mtapata mnachokitafuta.
 
Kama kuna mtu ana ushuhuda wa kutapeliwa na Ontario aje hapa. Ontario anajulikana kwa jina na sura watu tuna mpaka mawasiliano yake. Kwanini wasimshitaki?
ONTARIO rahisi sana kutaja hilo jina sjui kisa ni Fupi...ila Sio mwenzao ndio mana wanashindwa pakushtaki hawajui hata waanzie wapi maana wanajua hawaezi mshinda...sababu kubwa namba 1 mwenzao ana PESA tayari anzisha battle na mwenye pesa upoteze pesa zaidi.
 
Ontario ana pesa kuliko watu wote waliokwenda kwake? Tumia akili kufikiri acha kutanguliza hisia. Nani katapeliwa na Ontario? Na katapeliwa vipi?
 
Unaogopa usichokijua tatizo watu wana trade FOREX bila kuwa na knowledge ya kutosha eti wanaita wanaenda download ela.
Kila kitu kina faida iwe forex hata kubet la msingi chukua muda come up with a stratergy na epuka tamaa
mmmmmh hhhm mimi huyu! kwani wateja wa dagaa na vitunguu wameisha hadi nije huko? Kwanza FOREX nshaona ili utusue ni lazima uisome uielewe tena na kitabu ushike..sasa mambo ya kurudishana class mi siiyataki.

Nshazoea ki tecno nakinunua 7000 nakiuza 25,000 napata hela yangu kilainiiiii...ila mambo ya kusoma soma mi staki kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…