Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Siko upande wowote maana sio kila mtu aweza kuwa daktari au fundi seremala
Ila kuna dada mmoja ni x wangu,ameacha kazi ya lecturer sasa hivi ni full time forex trader.
hapo ndio kwenye shida yakommmmmh hhhm mimi huyu! kwani wateja wa dagaa na vitunguu wameisha hadi nije huko? Kwanza FOREX nshaona ili utusue ni lazima uisome uielewe tena na kitabu ushike..sasa mambo ya kurudishana class mi siiyataki.
Nshazoea ki tecno nakinunua 7000 nakiuza 25,000 napata hela yangu kilainiiiii...ila mambo ya kusoma soma mi staki kwanza.
Jifunze forex kupitia mimi mwaka 2020, tuinuke wote kabla sijahit milion dollar niwe na vijana wenye zaid ya dola elfu kumi hata mia tu wanatosha kujivunia
Hapana sijiiti ivo ista naitwa godi_fxWewe ndio unajiita Kashebofx insta??
Nimekutext WhatsApp tangu juzi umekimbia.
Wewe ndio unajiita Kashebofx insta??
Nimekutext WhatsApp tangu juzi umekimbia.