Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Mkuu tusivunjiane heshima. Hakuna mahali nimekutusi. Ongea hoja, lete hoja.
Mimi nimeijua forex kabla Ontario hajaanza kufundisha watu. Kimsingi wewe ndio msukule kuliko hao unaowaita misukule. Hakuna anayedownload pesa, we work for it. Tunatumia akili na muda mwingi kwenye screen kuliko watu wa ofisi and we get paid for it.

Mi nina uhakika wa laki 2 na thelathini kila siku nitakayotrade and I trade thrice per week. Mi na wewe msukule ni nani?
Nina residual income nzuri kuliko wewe mpumbavu mmoja unaponda kitu usichokijua.

Kwa Ontario watu walilipa laki na 30 hata kama hujui kitu hiyo pesa imesharudi. Endelea kuwaza shit while we run the town
kwa hela hiyo unayopata NINA kila sababu za kubaki na ninachokifanya na nisije FOREX....ki ufupi kwa hela Hiyo bado Ariifffff
 
Dawa ya watu kama ww ni kuwachukulia tu wake zenu siku nitakaponunua BMW 8 Series...
 
Yule sasa ivi atanenepa
hawezi nenepa mkuuu Stress za FOREX sio za NCHI hiii...angekua wa kunenepa ANGENENEPA enzi zile za kulima sio saivi kwenye FOREX.
 
hawezi nenepa mkuuu Stress za FOREX sio za NCHI hiii...angekua wa kunenepa ANGENENEPA enzi zile za kulima sio saivi kwenye FOREX.
Yaani wewe jamaa ni mjinga kama mavi, Sasa kitu hakina faida unakishobokea cha nini inaonekana kabisa kilikushinda au uliwekeza ukapigwa, au ulipata wajanja wakakupiga ndio umekuja kujifariji. Stress lazima ungepata tu sababu kichwani mweupe kama sembe. Huwezi jua stress za kitu kama hujakipitia.

Wewe endelea kuuza mchicha na vitumbua huku kwingine kutakutoa kamasi.
 
Kitu chochote kinachokuahidi kupata hela bila ya kufanya kazi (kuuza bidhaa au kutoa huduma flani) ni uongo mtupu...hii nilijifunza kipindi flani nilivyonunuaga hisa za voda baada kupigiwa sana promo...hahaa...sitasahau ila nilifanikiwa kuziuza japo kwa hasara
we ni zwazwa.... Samahani kwa maneno yangu
 
Hata mm najua kumekucha.... ila watu kama nyinyi hiyo ndo dawa yenu...
sema mkuu mpk umpate mke wangu ni mpaka MUNGU abonyeze ile button ya STOP...tofauti na HAPO sijaona wa kunichukulia tena kwa mbinu yako hiyo ndio kabisaaa...
 
Hicho ulichopost kwenyw huo uzi kinaonesha we ni mtu wa aina gani na mentality yako kiujumla.

Kwa mentality hiyo kubebewa mke hata si kazi...
 
sure! am a fool huu mwaka wa tatu sasa..

una Lingine nikusaidie..
We ndo watakiwa usaidiwe ss.....mwk wa tatu huna ata gar...am in forex a year....andi have my own house and a car life goes on
 
Huitaji rocket science kujua mtoa mada ana tatizo kiuchumi. Jambo limemshinda, haliwezi kwanini analiongelea vibaya? Hizo ni stress zake. I can bet hana mil 20+ account kwa jina lake. Huko ni kupoteza mawazo na stress za maisha.
Unajuaje una income nzuri kuliko yeye?
 
tatizo lenu mmezoea Ku BET hadi kwenye maisha ya watu..ok umesha BET sina 20M+ Kwenye account yangu (probably your right)

Elewa kitu kimoja mimi sio mzee wa FOREX wakukwambia naingiza "laki mbili na 30 kila ninapo trade na nina trade thrice per week"...

kwangu mimi hata siku moja siwezi kwambia naingiza au nina SH.ngapi...wewe unaeona 230k ni hela nyingi endelea washawishi wenzako waje kwenye FOREX...

endelea ku BET ila hata siku moja huwezi BET account yangu ina sh ngapi au aina ya maisha ninayoishi..Utachana mkeka,we tafuta mentor huko au Broker waendeleee kukupa trick za ku top up hyo 230k maana bado upo ulimwengu wa THIRD WORLD COUNTRIES.
 
We ndo watakiwa usaidiwe ss.....mwk wa tatu huna ata gar...am in forex a year....andi have my own house and a car life goes on
ukimaliza kuota amka piga mswaki..nenda kachape kazi
 
Back
Top Bottom