Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Hapa mjini ,Utavishwa chupi na pesa za wanaume,kitu hukifanyi ,hujaombwa mtaji, shobo za nini. Bro sio kila mtu lazima auze vitumbua mchicha au matikiti. Kama hakuna sheria yoyote inayovunjwa kila mtu afanye anachoweza fainali uzeeni.

Mbona kuna kampuni nyingi za betting/gambling kila kona sijui biko tatu mzuka unajua nikiasi gani cha pesa kinapotea,?? Unajua risk iliyopo kwenye hiyo michezo mbona watu wanafanya na wanalipa kodi, Vip kuhuzu alliance global, kote huko utakuta watu wamejaa kikubwa nimahesabu ya jion ndio yatakwambia kama inalipa au hailipi. Mbona waziri mkuu alinunua hisa vodacome milion 20 soko limeenda vibaya utamlaumu wakati hujui hiyo pesa ametoa mfukoni mwake.

Kama unania ya kutoa msaada tafuta vijana wenye shida mtaani wape mtaji kisha wapangie kipi cha kufanya maana najua now unaingiza pesa nyingi kupitia tecno sio kutoa bla bla na hata hoja ulizoandika hazieleweki
mkuu umepaniki vuta glass moja ya maji ushushie kwanza ndo urudi ulingoni
 
Acheni ujinga hivi kuna mtu anaruhusiwa kuendelea na shule kidato cha pili, tano au kwenda chuo bila ufauru Nauliza? Sasa forex km hutaki kusoma yaan ww mvivu utaunguza nasema utapunyuliwa Sana km ulizoea uangalizie chuon au class fln ndo upite au uishi kwa kuvizia majibu kutoka kwa wenzako wanaojitoa usiku na mchana kusoma ww utembeleee nyota yao kwenye fx no nasema No huku kila mtu atakula kutokana na jasho lake
Niulize swali niliwahi kusoma kitabu kimoja cha forex sikukimaliza sababu kilikua kikubwa sana ila niliwahi ona watu wanashangaa inakuaje yule mentor anakua anainfluence yeye i.e anasema trade watu wanaweka hela akisema stop watu wanatakiwa wa stop hilo swala linakaaje? Maana nimewahi kuona screeshot za yule jamaa anajiita CRE na mwingine anaitwa Jasonnoahsa huo taratibu upoje?
 
Kitu chochote kinachokuahidi kupata hela bila ya kufanya kazi (kuuza bidhaa au kutoa huduma flani) ni uongo mtupu...hii nilijifunza kipindi flani nilivyonunuaga hisa za voda baada kupigiwa sana promo...hahaa...sitasahau ila nilifanikiwa kuziuza japo kwa hasara
Nilitaka kununua hati fungani za NMB. Tayari umenikatisha tamaa.
 
Ndo nishamaliza hata sina maneno mengi,maana kila mtu huyu anasifia huyu anaponda,anaesifia Yashamkuta ila anakwambia hakomi ndio life style yake(shauri lako),ana eponda yeye yashamkuta na amekoma Japo wote wanao Ponda nawaona ni kama STAKI NATAKA yani wanapondaaaaa halafu mwisho unamsikia ila FOREX ni real ni kukosa tu mentor mzuri sjui nini fyeke fyeke fyeke kibaoo.

Sasa mimi hata sisemi sana...ntabaki na kuuza vi tecno vyangu na vi itel nyie endeleeeni ila mnachokitafuta mtakipata nawambia Maana Hamkomi yani kwa jinsi nilivyoiona hii Forex kwa ambae hujaianza ni kama ka mdada ambacho hakajawahi ku sex sasa kakisha TOLEWA BKRA anapata maumivu haswaaaa ila pamoja na kuugulia maumivu utamskia Ila Tamuuuu hiyoooo [emoji38] [emoji38]

Sawa Forex ni Tamu endeleeni kupata Utamu ila mtapata mnachokitafuta.
Uzi wako umeniboa kabisa if u cant do forex or trade its you bro not all will be like u. I am one of traders I got so much losses till now but I know am good...if u dont take risk and experience pain then you a a fool
 
jukwaa la huru hili maoni yake mhimu
 
Hapa mjini ,Utavishwa chupi na pesa za wanaume,kitu hukifanyi ,hujaombwa mtaji, shobo za nini. Bro sio kila mtu lazima auze vitumbua mchicha au matikiti. Kama hakuna sheria yoyote inayovunjwa kila mtu afanye anachoweza fainali uzeeni.

Mbona kuna kampuni nyingi za betting/gambling kila kona sijui biko tatu mzuka unajua nikiasi gani cha pesa kinapotea,?? Unajua risk iliyopo kwenye hiyo michezo mbona watu wanafanya na wanalipa kodi, Vip kuhuzu alliance global, kote huko utakuta watu wamejaa kikubwa nimahesabu ya jion ndio yatakwambia kama inalipa au hailipi. Mbona waziri mkuu alinunua hisa vodacome milion 20 soko limeenda vibaya utamlaumu wakati hujui hiyo pesa ametoa mfukoni mwake.

Kama unania ya kutoa msaada tafuta vijana wenye shida mtaani wape mtaji kisha wapangie kipi cha kufanya maana najua now unaingiza pesa nyingi kupitia tecno sio kutoa bla bla na hata hoja ulizoandika hazieleweki
hii barua yako tuitume sanduku la posta lipi? umesahau anuani
 
Uzi wako umeniboa kabisa if u cant do forex or trade its you bro not all will be like u. I am one of traders I got so much losses till now but I know am good...if u dont take risk and experience pain then you a a fool
sure! am a fool huu mwaka wa tatu sasa..

una Lingine nikusaidie..
 
Wazee wa signal tuko vizuri![emoji41][emoji41][emoji41]
Screenshot_20190623-170258-picsay.jpeg
 
Back
Top Bottom