Hapa mjini ,Utavishwa chupi na pesa za wanaume,kitu hukifanyi ,hujaombwa mtaji, shobo za nini. Bro sio kila mtu lazima auze vitumbua mchicha au matikiti. Kama hakuna sheria yoyote inayovunjwa kila mtu afanye anachoweza fainali uzeeni.
Mbona kuna kampuni nyingi za betting/gambling kila kona sijui biko tatu mzuka unajua nikiasi gani cha pesa kinapotea,?? Unajua risk iliyopo kwenye hiyo michezo mbona watu wanafanya na wanalipa kodi, Vip kuhuzu alliance global, kote huko utakuta watu wamejaa kikubwa nimahesabu ya jion ndio yatakwambia kama inalipa au hailipi. Mbona waziri mkuu alinunua hisa vodacome milion 20 soko limeenda vibaya utamlaumu wakati hujui hiyo pesa ametoa mfukoni mwake.
Kama unania ya kutoa msaada tafuta vijana wenye shida mtaani wape mtaji kisha wapangie kipi cha kufanya maana najua now unaingiza pesa nyingi kupitia tecno sio kutoa bla bla na hata hoja ulizoandika hazieleweki