Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

umetoa mfano mzuri sana walai....Aseee bangi siuzi hapana[emoji1787][emoji1787] (umejua ku lenga kwa mfano hai[emoji119][emoji119])
Trust me.....
2019-06-21%2019.22.08.jpeg
 
Ndo nishamaliza hata sina maneno mengi,maana kila mtu huyu anasifia huyu anaponda,anaesifia Yashamkuta ila anakwambia hakomi ndio life style yake(shauri lako),ana eponda yeye yashamkuta na amekoma Japo wote wanao Ponda nawaona ni kama STAKI NATAKA yani wanapondaaaaa halafu mwisho unamsikia ila FOREX ni real ni kukosa tu mentor mzuri sjui nini fyeke fyeke fyeke kibaoo.

Sasa mimi hata sisemi sana...ntabaki na kuuza vi tecno vyangu na vi itel nyie endeleeeni ila mnachokitafuta mtakipata nawambia Maana Hamkomi yani kwa jinsi nilivyoiona hii Forex kwa ambae hujaianza ni kama ka mdada ambacho hakajawahi ku sex sasa kakisha TOLEWA BKRA anapata maumivu haswaaaa ila pamoja na kuugulia maumivu utamskia Ila Tamuuuu hiyoooo [emoji38] [emoji38]

Sawa Forex ni Tamu endeleeni kupata Utamu ila mtapata mnachokitafuta.
imekufanyaje kwani mkuu hiyo forex?
 
imekufanyaje kwani mkuu hiyo forex?
wala haijanifanya kitu...na sijui kama itanifanya kitu labda huko uzeeni nikiwa sina nguvu ya kutembea ndo ntakua na fanya yangu chumbani saiyo nshakua BABU
 
Hii kitu unatakiwa usiwe na upungufu wa akili//huku unawaza leo mkaa haujauzika huku unawaza kutrade forex ////nyambafu
Ndo nishamaliza hata sina maneno mengi,maana kila mtu huyu anasifia huyu anaponda,anaesifia Yashamkuta ila anakwambia hakomi ndio life style yake(shauri lako),ana eponda yeye yashamkuta na amekoma Japo wote wanao Ponda nawaona ni kama STAKI NATAKA yani wanapondaaaaa halafu mwisho unamsikia ila FOREX ni real ni kukosa tu mentor mzuri sjui nini fyeke fyeke fyeke kibaoo.

Sasa mimi hata sisemi sana...ntabaki na kuuza vi tecno vyangu na vi itel nyie endeleeeni ila mnachokitafuta mtakipata nawambia Maana Hamkomi yani kwa jinsi nilivyoiona hii Forex kwa ambae hujaianza ni kama ka mdada ambacho hakajawahi ku sex sasa kakisha TOLEWA BKRA anapata maumivu haswaaaa ila pamoja na kuugulia maumivu utamskia Ila Tamuuuu hiyoooo [emoji38] [emoji38]

Sawa Forex ni Tamu endeleeni kupata Utamu ila mtapata mnachokitafuta.
 
Na wa mikeka je???

Acheni ujinga hivi kuna mtu anaruhusiwa kuendelea na shule kidato cha pili, tano au kwenda chuo bila ufauru Nauliza? Sasa forex km hutaki kusoma yaan ww mvivu utaunguza nasema utapunyuliwa Sana km ulizoea uangalizie chuon au class fln ndo upite au uishi kwa kuvizia majibu kutoka kwa wenzako wanaojitoa usiku na mchana kusoma ww utembeleee nyota yao kwenye fx no nasema No huku kila mtu atakula kutokana na jasho lake
 
Na wa mikeka je???
BORA HATA HAO...unajiekea mkeka wako unafanya yako ila FOREX kuna sjui BROKER sjui nani yani mtu anafanya mafekeche upasuke ili yeye alambe dodo huu si ndo ushubwada wenyewe
 
Mawazo yako na yangu ni sawia kabisa bro ! Watu wanadhani forex ni biashara ya kuuza mkaa NO /// upo vzr sana bro maana na me naishi kwa kutegemea hii kitu na sijawahi kujutia
Mkuu tusivunjiane heshima. Hakuna mahali nimekutusi. Ongea hoja, lete hoja.
Mimi nimeijua forex kabla Ontario hajaanza kufundisha watu. Kimsingi wewe ndio msukule kuliko hao unaowaita misukule. Hakuna anayedownload pesa, we work for it. Tunatumia akili na muda mwingi kwenye screen kuliko watu wa ofisi and we get paid for it.

Mi nina uhakika wa laki 2 na thelathini kila siku nitakayotrade and I trade thrice per week. Mi na wewe msukule ni nani?
Nina residual income nzuri kuliko wewe mpumbavu mmoja unaponda kitu usichokijua.

Kwa Ontario watu walilipa laki na 30 hata kama hujui kitu hiyo pesa imesharudi. Endelea kuwaza shit while we run the town
 
Ilisikika sauti ya Simba wa...... ikiunguruma pale alipokuwa akikishuka kile kilima kuingia lango la Mji
 
ukitaka kuona maajabu ya NUHU nenda huko kwenye Freee utaona kama hutoacha hela huko tena wewe mwenyeuweeee
Ndio mana mm nafanya tu yangu seminar za kipumbav ambazo WAP hawanip pesa natemana nazo ntafute ugali wa watot njia ya chooni isiote majan
 
BORA HATA HAO...unajiekea mkeka wako unafanya yako ila FOREX kuna sjui BROKER sjui nani yani mtu anafanya mafekeche upasuke ili yeye alambe dodo huu si ndo ushubwada wenyewe
mkuuu hahahahahaba
 
Mkuu naomba niunganishe na hilo chimbo la 7000
mmmmmh hhhm mimi huyu! kwani wateja wa dagaa na vitunguu wameisha hadi nije huko? Kwanza FOREX nshaona ili utusue ni lazima uisome uielewe tena na kitabu ushike..sasa mambo ya kurudishana class mi siiyataki.

Nshazoea ki tecno nakinunua 7000 nakiuza 25,000 napata hela yangu kilainiiiii...ila mambo ya kusoma soma mi staki kwanza.
 
Back
Top Bottom