Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hela hiyo unayopata NINA kila sababu za kubaki na ninachokifanya na nisije FOREX....ki ufupi kwa hela Hiyo bado AriifffffMkuu tusivunjiane heshima. Hakuna mahali nimekutusi. Ongea hoja, lete hoja.
Mimi nimeijua forex kabla Ontario hajaanza kufundisha watu. Kimsingi wewe ndio msukule kuliko hao unaowaita misukule. Hakuna anayedownload pesa, we work for it. Tunatumia akili na muda mwingi kwenye screen kuliko watu wa ofisi and we get paid for it.
Mi nina uhakika wa laki 2 na thelathini kila siku nitakayotrade and I trade thrice per week. Mi na wewe msukule ni nani?
Nina residual income nzuri kuliko wewe mpumbavu mmoja unaponda kitu usichokijua.
Kwa Ontario watu walilipa laki na 30 hata kama hujui kitu hiyo pesa imesharudi. Endelea kuwaza shit while we run the town
Login • Instagram
Welcome back to Instagram. Sign in to check out what your friends, family & interests have been capturing & sharing around the world.www.instagram.com
Yaani wewe jamaa ni mjinga kama mavi, Sasa kitu hakina faida unakishobokea cha nini inaonekana kabisa kilikushinda au uliwekeza ukapigwa, au ulipata wajanja wakakupiga ndio umekuja kujifariji. Stress lazima ungepata tu sababu kichwani mweupe kama sembe. Huwezi jua stress za kitu kama hujakipitia.hawezi nenepa mkuuu Stress za FOREX sio za NCHI hiii...angekua wa kunenepa ANGENENEPA enzi zile za kulima sio saivi kwenye FOREX.
we ni zwazwa.... Samahani kwa maneno yanguKitu chochote kinachokuahidi kupata hela bila ya kufanya kazi (kuuza bidhaa au kutoa huduma flani) ni uongo mtupu...hii nilijifunza kipindi flani nilivyonunuaga hisa za voda baada kupigiwa sana promo...hahaa...sitasahau ila nilifanikiwa kuziuza japo kwa hasara
Hata mm najua kumekucha.... ila watu kama nyinyi hiyo ndo dawa yenu...MKUU kumeshakucha..Amkaaaaa
We ndo watakiwa usaidiwe ss.....mwk wa tatu huna ata gar...am in forex a year....andi have my own house and a car life goes onsure! am a fool huu mwaka wa tatu sasa..
una Lingine nikusaidie..
Huitaji rocket science kujua mtoa mada ana tatizo kiuchumi. Jambo limemshinda, haliwezi kwanini analiongelea vibaya? Hizo ni stress zake. I can bet hana mil 20+ account kwa jina lake. Huko ni kupoteza mawazo na stress za maisha.
Unajuaje una income nzuri kuliko yeye?
Unajuaje una income nzuri kuliko yeye?
Unajuaje una income nzuri kuliko yeye?
Nakuja inbox Mkuu, unipe nambaukihitaji ukiwa tayari kwa 100pc nitafute mkuu...hamna linaloshindikana
tatizo lenu mmezoea Ku BET hadi kwenye maisha ya watu..ok umesha BET sina 20M+ Kwenye account yangu (probably your right)Huitaji rocket science kujua mtoa mada ana tatizo kiuchumi. Jambo limemshinda, haliwezi kwanini analiongelea vibaya? Hizo ni stress zake. I can bet hana mil 20+ account kwa jina lake. Huko ni kupoteza mawazo na stress za maisha.