Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Najitahdi sana kujua tu hata nawekaje pesa na natrade vip kama Vile kubet...!!
kwa mtu ana e BET hiii kitu ya FOREX haimsumbui maana tayari ana vi knowledge,kwa sisi tusio jua hata ku bet mama Leo atapika wali au ugali...una BET na madogo leo maza anapika Ubwabwa maana umeona mchele kumbe ule mchele ni wa Jumapili usiku mezani unafunua hotpot unakutana na Nguna...ushachana mkeka hivyooo Kwa watu akam sisi ngumu sana
 
Najitahdi sana kujua tu hata nawekaje pesa na natrade vip kama Vile kubet...!!
Kuna channel moja ya telegram ya kiswahili jamaa anafundisha free tu ni ww na bando lako unaweza icheki ukawa unapiga mapindi hapo ni simple na inaeleweka vizuri tu.
 
em link ya hiyo channel smigo for uuuu
 
Kuna channel moja ya telegram ya kiswahili jamaa anafundisha free tu ni ww na bando lako unaweza icheki ukawa unapiga mapindi hapo ni simple na inaeleweka vizuri tu.
Naomba link mkuu... At lst nitaelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani atakimbia Jf akianza kutumiwa screenshot za kudownload mil 1 kwa week hapa asianze kuliaa..
we muache namcheki tu...watu wanapga mahela ye anawa beep Mi hata sishndani nao maana nimegundua raia wa FOREX ni wajanja wajanja haoooo kama visungura
 
Yani dadeki wanaishia kupata pesa za kuwatapeli tu wajinga wenginee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha mizevezo Ontario huyu hapa!
 
Yani dadeki wanaishia kupata pesa za kuwatapeli tu wajinga wenginee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ukiwambia nionyeshe umefanyia nini hela ya FOREX anakujibu..."halafu iweje" yani hapo tu ndo wanaponchosha akili una mi dollar kibao ila kuitoa yote unaogopa ndo nn sasa..blalfull
 
Kwa hiyo hapa ndio katapeli mtu?
 
hahahaha we jamaa nimecheka balaa
 
Ila tamu hiyoo haha aise
 
ukiwambia nionyeshe umefanyia nini hela ya FOREX anakujibu..."halafu iweje" yani hapo tu ndo wanaponchosha akili una mi dollar kibao ila kuitoa yote unaogopa ndo nn sasa..blalfull
Hebu mkuu elezea utapeli unaofanyika kwenye forex. Mimi nataka nikualike ofisini kwangu pale Tanzanite Park uje unielekeze watu wanavyotapeliwa kama huwezi kueleza hapa. Ntakulipia usafiri na disturbance allowance.

Maana unaonekana unajua sana mambo yanavyofanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…