Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Ontario ana pesa kuliko watu wote waliokwenda kwake? Tumia akili kufikiri acha kutanguliza hisia. Nani katapeliwa na Ontario? Na katapeliwa vipi?
walio enda kwa Ontario walijiangalia wakajiona hawa fit ndio mana wamemfata..wangekua na PESA wala wasingemfata wangekaa na mahela yao.

nani katapeliwa na ontario unaniuliza mimi? katapeliwa vipi unamuuliza nani hilo swali sasa aseee Mbona siku manyi mzee baba
 
Haiwezekani wote tukawa wataalamu wa biashara ya Forex, ukiona kimekushinda acha. Forex is real, mimi mwenyewe siwezi na sitakuja kujaribu hii kitu, ila najua ni biashara ipo siku nyingi na watu wanaendesha maisha yao kwa hii Forex.
Najua siwezi kui-master, siko interested nayo. So waachie wenye nayo, wanaoweza.
Tusiaminishane kuwa forex ni utapeli. Ukiliwa kosa ni lako, kufanya kitu usichokiweza wala kukijua.
 
FOREX siyo biashara ya kila mtu kufanya hapo ndipo watu wanakosea. Mfano siyo kila mtu anaweza fanya biashara ya genge au duka ndo maana kuna mwingne anafanikiwa na mwingne anafail.
Kwa tz forex ni kitu kipya ndo maana watu wanadhani ni DECI na ni ajabu kuna watu na degree zao wanafananisha forex na DECI sijui huko vyuoni walienda kusoma ujinga
mmmmmh hhhm mimi huyu! kwani wateja wa dagaa na vitunguu wameisha hadi nije huko? Kwanza FOREX nshaona ili utusue ni lazima uisome uielewe tena na kitabu ushike..sasa mambo ya kurudishana class mi siiyataki.

Nshazoea ki tecno nakinunua 7000 nakiuza 25,000 napata hela yangu kilainiiiii...ila mambo ya kusoma soma mi staki kwanza.
 
Haya sawa

Maana vitu vingine kubishana ni upumbavu

Hasa kubishana na misukule ya ontario
Mkuu tusivunjiane heshima. Hakuna mahali nimekutusi. Ongea hoja, lete hoja.
Mimi nimeijua forex kabla Ontario hajaanza kufundisha watu. Kimsingi wewe ndio msukule kuliko hao unaowaita misukule. Hakuna anayedownload pesa, we work for it. Tunatumia akili na muda mwingi kwenye screen kuliko watu wa ofisi and we get paid for it.

Mi nina uhakika wa laki 2 na thelathini kila siku nitakayotrade and I trade thrice per week. Mi na wewe msukule ni nani?
Nina residual income nzuri kuliko wewe mpumbavu mmoja unaponda kitu usichokijua.

Kwa Ontario watu walilipa laki na 30 hata kama hujui kitu hiyo pesa imesharudi. Endelea kuwaza shit while we run the town
 
Lets run this town nigger..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haiwezekani wote tukawa wataalamu wa biashara ya Forex, ukiona kimekushinda acha. Forex is real, mimi mwenyewe siwezi na sitakuja kujaribu hii kitu, ila najua ni biashara ipo siku nyingi na watu wanaendesha maisha yao kwa hii Forex.
Najua siwezi kui-master, siko interested nayo. So waachie wenye nayo, wanaoweza.
Tusiaminishane kuwa forex ni utapeli. Ukiliwa kosa ni lako, kufanya kitu usichokiweza wala kukijua.
THAWA
 
Back
Top Bottom