Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Wewe tena mawazo yako ulipoyapeleka unajijuaga tu na akili zakoMhm hapa kuna kila mazimgira mtu ataliwa kimasikhara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama sio threesome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tena mawazo yako ulipoyapeleka unajijuaga tu na akili zakoMhm hapa kuna kila mazimgira mtu ataliwa kimasikhara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama sio threesome
Ah wee wanaume akili ipo kwa mikichwa cha chini. Yaani huyo mrembo alete boy wake hapo awe anamgegeda alafu mrembo anakaa nje anasimia mapigo...mitego itaanza tarafibh mwishoe jamaa anapita na rafiki ya gelofrend wake kama sio kumkaribisha kabisa wapate kushare utamu wa rungu lake🤣🤣🤣🤣🤣Wewe tena mawazo yako ulipoyapeleka unajijuaga tu na akili zako
Me nlikua nae mmoja amekaa kwangu Toka mwezi wa Kumi na moja mwaka Jana........ nyumba nlokua naish mwanzo ilikua vyumba viwili.....nkahamia kweny kimoja na sebule bado nko nae.....Kuna mtu nkaingia nae mahusiano.....eeh akaanza kua anamuomba Ela me sijui...mara anamwambia mambo yangu, huyo akawa kaniacha bila kujua sababu.....huyo Rfk alikua achangii chochote ndani me nmlishe, hadi pads nmnunulie.......nlivokuja kujua nkamwambia tu ukweli....ugomvi ulozuka hapo....oooh ww una roho mbaya, unitunzi me kama rafk ako, unamjali mtoto ako na Nini na Nini....... nkamwambia tu ondoka nyumbani kwangu......akaondoka....kwa hyo ukimwambia ondoka jiandae kwa bifu sisi wadada akil zetu ni ndogo sana!
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwanini mali yako ikutese?Anapafahamu kwangu, anajua nakaa mwenyewe na alinambia itakua mda mfupi tu haitazidi ata wiki mbili.
sasa naona uvumilivu unanishinda, nmemiss uhuru wangu, kumwambia nashindwa na aliwahi nisaidia pia.
Niishi nae vipi,
Mimi Kama mwanaume naweza Seema hizi issue Zina changamoto saanaHabarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo.
Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri.
Miezi miwili iliopita mambo yake hayakwenda sawa akaniomba aje akae kwangu kwa mda mfupi akijipanga ili aende kupanga, Ila sasa naona kabisa uvumilivu umeniisha na sijui anaondoka lini na naona nikimuuliza atajisikia vibaya.
Ratiba ya kwangu imebadilika kabisa, mimi si mtu wa kutoka napenda kuwahi kurudi nyumbani na kupata mda mwingi wa kupumzika, yeye anachelewa kurudi akirudi ni hekaheka atataka tuongee nisipomjibu anajisikia vibaya, atabamiza milango, uo usiku ndio atataka apike, kunakua hakuna utulivu na kachumba ni kamoja tu,..najikuta tu nina hasira na kisirani.
Mnachukuliana vipi na watu wa haina hii?
Nilitumia hiyo mbinu kukimbiza mtu, nilimuita bebi akaja akakaa wiki, mbona mtu alihama.Kosa kubwa sana unalifanya ni kutotambua ukweli kwamba wanawake huwa hamkai chumba kimoja kwa muda mrefu mkaweza kuvumiliana hata muwe marafiki kiasi gani hilo haliwezekani.
Mwambie ukweli, atanuna (mtanuniana) yataisha na maisha yataendelea. Hakikisha anahamia kwake kwa mbinu yyt ile, kwa mfano; mlete mwanaume wako na hakikisha anakaa hapo hadi mida mibovu wakati huo yeye akae nje asubiri mmalize maongezi yenu (ikiwezekana kila siku mfululizo) nakuhakikishia hatoweza kuvumilia atatafuta namna ya kuondoka
Alikua na wivu kweliUsimtunze mwanao umtunze mtu mzima?
Si akatunzwe kwao
Huyo alikuwa na wivu!!!+