Mnachukuliana vipi na marafiki wa aina hii?

Wewe tena mawazo yako ulipoyapeleka unajijuaga tu na akili zako
Ah wee wanaume akili ipo kwa mikichwa cha chini. Yaani huyo mrembo alete boy wake hapo awe anamgegeda alafu mrembo anakaa nje anasimia mapigo...mitego itaanza tarafibh mwishoe jamaa anapita na rafiki ya gelofrend wake kama sio kumkaribisha kabisa wapate kushare utamu wa rungu lake🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usimtunze mwanao umtunze mtu mzima?

Si akatunzwe kwao

Huyo alikuwa na wivu!!!+
 
Anapafahamu kwangu, anajua nakaa mwenyewe na alinambia itakua mda mfupi tu haitazidi ata wiki mbili.
sasa naona uvumilivu unanishinda, nmemiss uhuru wangu, kumwambia nashindwa na aliwahi nisaidia pia.

Niishi nae vipi,
Kwanini mali yako ikutese?

Mwambie wazi kuwa muda alioomba umeshaisha. Unahitaji uishi kwa uhuru wako uliouzoea mwanzo.

Mpe week awe ameshaondoka. Baada ya hapo utaondoka na vitu vyako kumwachia nyumba aendelee kukaa.

Akikasirika sawa, ila atleast utakuwa ushapata uhuru wako tena.
 
Mimi Kama mwanaume naweza Seema hizi issue Zina changamoto saana

Mimi Kuna jamaa Ana familia Teena ya ndoa since 2009 zaidi ya miaka 12 ya ndoa kakosana na mke wake..mwezi June 2021 ( Ana miezi 8) kwangu alikosana na mke wake akaniomba aje kwangu kwa muda huwezi amini jamaa kasusa mke wake anaishi kwangu...

Hana hata mpango wa kuondoka kwangu..since hiyo June, (now Ana miezi 8 ) kwangu since June..hata mchumba hawezi kuja kwangu..nilishamwambia kuwa mchumba wangu tangu uje kwangu kashindwa kuja kwangu kwa ajili yako nikimuomba afanye mpango wa kitafuta chumba apange akiwa anafanya suruhu na mkewe japo ndoa Kama ishakufa

Jamaa akaniahidi December kuwa lazima atahama..(maana nimekuwa muungwana ) sikutaka kumfukuza..December xmass akasafiri kwao..akaniahidi akirudi tu anachukua chumba apange..huwezi amini alisafiri na kurudi kutoka mkoa kwa aibu akaja bira taarifa akasema Kuna hela anategemea Kama milion 2 alivyopata hell hiyo akafanya Mambo yake Hadi Sasa yupo kwangu..hata Mimi ni muhanga..nishatia mbinu zote za kumutoa hasa indirect but no mtu flani anataka mpaka nimtamkia kuwa ondoka...hii hali in saana

Huwezi amini jamaa hela akipata ni kulewa na wanawake..ikiisha ndio anakumbuka kuhama...dunia ina changamoto saana...jamaa ni rafiki yangu wa olevel..but naona urafiki wangu na yeye itafika ufe maana nishavumilia vya kutosha..no mtu anayependa kitonga..maana nimeshindwa kuwa free with my private life

Nadhani atakuwa anapenda kuishi kwangu japo nipo single..bachelor life..Nina mchumba..compound nayoishi Ina Kila kitu ndani nyumba ipo full..so nachoona kwa huyo rafiki..anataka kuwa na maisha ya kuanza akiwa full furnished kitu ambacho hawezi..hata godoro Hana

Wadau wenye tabia za kitonga sio kabisa..mtu anakuja kwa nia ya kuomba two weeks..Kisha kutoka mpaka ugomvi
 
Nilitumia hiyo mbinu kukimbiza mtu, nilimuita bebi akaja akakaa wiki, mbona mtu alihama.
Kuna watu hawapendi kujitegemea, huyo usipokuwa makini atazeekea hapo.
 
Ubinafsi...

Uliyoyazungumza ni vitu vya kawaida sana na yanazungumzika.... Ila wewe kuishi kinafiki ndio mtihani uliojipa...

Unapotoa msaada wowote tegemea mambo yako kubadilika kidogo..

Jikaze ataondoka tu.... Karma is real.... Je kipindi yeye anakusaidia kwake uliziona hizo kero.!???? au hadi uwe kwako ndio unaona kero?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…