Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hela natafuta sana tuTafuta hela
Zuzu ndio nani?Ukiwa na tamaa lazima upigwe pesa yakutosha ...Unashindwa kujuwa hiyo unacheza kamari...., yaani mazuzu Duniani ammpungui.
Mjinga ndio nani?
At least umeongea pointAchilia mbali washindi, kitu cha kujiuliza, kwenye mnada wanakuwepo mnaoshindana nao kununua bidhaa akisema 200 wewe 220 na dalali akiona kimya kwa muda anamuuzia aliyejuu.
Sasa voda hawasemi aliyejuu ila wanatangaza mshindi kimya kimya pasipo kujua wewe umeweka ngapi na wa juu yako kashinda kwa ngapi!!
Covid inaleta haina mpya za utapeli huku wakijua watz hawafuatilii deep so ni kuwapiga tu.
Zuzu ndio nani?
Basi hapo kuna harufu ya utapeli ,hawana tofauti na tatu mzukaMkuu iyo ni betting km za sportpesa ukikaa vibaya utapigwa kipigo cha jibwa.
Jero ikupe microwave ya laki 5.
Too much sense will not kill me.
LabdaSijui lakini mwanaume yeyote anayependa vya bure huyo ni zuzu.
Itakuwa
Na kila Siku lazima wakutumie
Haha alafu walisema wanashirikiana na tatu mzukaWanakera na sms zao za mara kwa mara....Waweza kuwa unasubiri kamuamala mara meseji hiyo kucheck Mnada poa.
Sio tamaa ,Bali msg zao wanazonitumia ndio maana nikauuliza kama hii ni kweliPunguza Tamaa mkuu uliona wapi TV ikauzwa Sh 220
Maisha ni magumu watu wakafikiria waje vipi ndo wamekuja na mnada,mnada unaofanyika kwenye background we tangu umekuwa ushaona mnada unafanyika bila wewe kushiriki physically so that what we call betting ila imkuja kwa mlango wa nyumaBasi hapo kuna harufu ya utapeli ,hawana tofauti na tatu mzuka
Mpenda vya bure boza,Sijui lakini mwanaume yeyote anayependa vya bure huyo ni zuzu.
Hapo nimekusoma mkuuMaisha ni magumu watu wakafikiria waje vipi ndo wamekuja na mnada,mnada unaofanyika kwenye background we tangu umekuwa ushaona mnada unafanyika bila wewe kushiriki physically so that what we call betting ila imkuja kwa mlango wa nyuma