Mnada poa wa Vodacom

Mnada poa wa Vodacom

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Habari zenu wakuu

Kuhusu hii kampeni ya mnada poa ya Vodacom, Je ni kweli?

Na kama ni kweli, mbona hatuoni hao washindi wakitangazwa?
 
Achilia mbali washindi, kitu cha kujiuliza, kwenye mnada wanakuwepo mnaoshindana nao kununua bidhaa akisema 200 wewe 220 na dalali akiona kimya kwa muda anamuuzia aliyejuu.

Sasa voda hawasemi aliyejuu ila wanatangaza mshindi kimya kimya pasipo kujua wewe umeweka ngapi na wa juu yako kashinda kwa ngapi!!

Covid inaleta haina mpya za utapeli huku wakijua watz hawafuatilii deep so ni kuwapiga tu.
 
At least umeongea point
 
Basi hapo kuna harufu ya utapeli ,hawana tofauti na tatu mzuka
Maisha ni magumu watu wakafikiria waje vipi ndo wamekuja na mnada,mnada unaofanyika kwenye background we tangu umekuwa ushaona mnada unafanyika bila wewe kushiriki physically so that what we call betting ila imkuja kwa mlango wa nyuma
 
Hapo nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom