Mnada wa Jezi Tano za Simba Sport Club umefanyika. Jezi ya Rais Samia yauzwa milioni 10

Mnada wa Jezi Tano za Simba Sport Club umefanyika. Jezi ya Rais Samia yauzwa milioni 10

Ficha ujinga wako . Ahmed anacheza namba ngapi uwanjani?
simba bana mnafraisha ngao ya jamii mkidundwa, mwamedi anaaanza vijembe mnaanza kutafutana.

wenzenu yanga wako bize kujifua nyie mnapiga kampeni za ccm.

hakuna waasisi ambao walipambania simba au soka la Tanzania?
 
Kinyesi fc wao huambulia buku shing 3 kwa kila uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli wenye akilo ni wawilo(kwa sauti ya bambo)
 
Hao ni Mbumbumbu kwa mujibu wa Rage...yaani wameandika majina then wanasema Jezi ni ya mwenye jina...

Mwenyejina hiyo jezi haijawahi kumfikia, wala kuiona achilia mbali kuivaa..

Ni Uchawa na Uchawi tu ...
Ha ha ha,
Lakini kama mwenye jina mwenyewe ameiona mitandaoni na hajapinga kwamba hiyo jezi sio yake basi acha tuendelee tu kuamini ni yake.
 
simba bana mnafraisha ngao ya jamii mkidundwa, mwamedi anaaanza vijembe mnaanza kutafutana.

wenzenu yanga wako bize kujifua nyie mnapiga kampeni za ccm.

hakuna waasisi ambao walipambania simba au soka la Tanzania?
Kwani huyo Ahmed Ally anacheza namba ngapi pale Msimbazi?? Timu ipo kambi Ulaya huko, hapa imebaki Menejimenti tu ambayo ndiyo inafanya shughuli zote hizo.
 
Kwani huyo Ahmed Ally anacheza namba ngapi pale Msimbazi?? Timu ipo kambi Ulaya huko, hapa imebaki Menejimenti tu ambayo ndiyo inafanya shughuli zote hizo.

unajua maana ya team? au ukishakuwa na mb nikutype tuu.
 
Huna akili, kwahiyo unataka na Menejimenti nayo iende ikajifue pre season?? Hivi una ubongo kweli wewe??

management inatakiwa ijifungie ndani kuandika malengo. watoke na mkakati msimu huu walau washinde ngao ya jamii.
 
T - Together
E - Everyone
A - Achieves
M - More
Kila mtu ashike jambo lake kisawasawa kuhakikisha pre determined goal inafikiwa effectively.

ishukuriwe google imekuwezesha kupata maana ya team. hongera mambumbumbu wenzako ata ku google hawawezi.

mbumbumbu cc Rage
 
Mm ni YANGA ila simba hakika mnaliheshimisha TAIFA mpewe maua yenu
 
Ha ha ha,
Lakini kama mwenye jina mwenyewe ameiona mitandaoni na hajapinga kwamba hiyo jezi sio yake basi acha tuendelee tu kuamini ni yake.
Amini tu ...ni mchezo wa kujitekenya na kucheka mwenyewe ...[emoji1787]
 
Back
Top Bottom