johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeona mnada wa Jezi za Wekundu wa Msimbazi
Mfano
Jezi ya Rais Samia tsh 10 mil
Jezi ya Mwinyi tsh 5m
Jezi ya Dr Mpango tsh 3m
Jezi ya Dr Tulia PhD tsh 2.5m
Kibegi cha kubebea Jezi tsh 2.5m
Jezi ya Mo tsh 2m
Jezi ya Dr Kigwangala tsh ?m
Nilichoshangazwa na hawa Makolo Kibegi kimeingiaje Kwenye hiyo Orodha ya wanasiasa? 😂😂
Mfano
Jezi ya Rais Samia tsh 10 mil
Jezi ya Mwinyi tsh 5m
Jezi ya Dr Mpango tsh 3m
Jezi ya Dr Tulia PhD tsh 2.5m
Kibegi cha kubebea Jezi tsh 2.5m
Jezi ya Mo tsh 2m
Jezi ya Dr Kigwangala tsh ?m
Nilichoshangazwa na hawa Makolo Kibegi kimeingiaje Kwenye hiyo Orodha ya wanasiasa? 😂😂