johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeona mnada wa Jezi za Wekundu wa Msimbazi
Mfano
Jezi ya Rais Samia tsh 10 mil
Jezi ya Mwinyi tsh 5m
Jezi ya Dr Mpango tsh 3m
Jezi ya Dr Tulia PhD tsh 2.5m
Kibegi cha kubebea Jezi tsh 2.5m
Jezi ya Mo tsh 2m
Jezi ya Dr Kigwangala tsh ?m
Nilichoshangazwa na hawa Makolo Kibegi kimeingiaje Kwenye hiyo Orodha ya wanasiasa? ππ
Huyo saa100 kwa nini asiuzwe yeye pamoja na jezi yake hata kwa 20mlNimeona mnada wa Jezi za Wekundu wa Msimbazi
Mfano
Jezi ya Rais Samia tsh 10 mil
Jezi ya Mwinyi tsh 5m
Jezi ya Dr Mpango tsh 3m
Jezi ya Dr Tulia PhD tsh 2.5m
Kibegi cha kubebea Jezi tsh 2.5m
Jezi ya Mo tsh 2m
Jezi ya Dr Kigwangala tsh ?m
Nilichoshangazwa na hawa Makolo Kibegi kimeingiaje Kwenye hiyo Orodha ya wanasiasa? [emoji23][emoji23]
Ha ha ha....Kwa taarifa yako pesa hizo siyo kwa matumizi ya club..zinatolewa zote huko Muhimbili
Basi wale kwenye familia yao wenye akili ni wawili tu wataiga..... Eng. Hersi na Mzee Manara...Basi wale kwenye familia yao wenye akili ni wawili tu wataiga.
Utokolo mnaumia saaaana nguruwe nyieKipindi cha makolo kunenepa na kutamba mitaani ndio hiki,ligi ikianza ni maumivu kwa kwenda mbele
We nyau mbu3 tuumie na huo ushuzi wenu wa kijinga,sie tunawaza makombeUtokolo mnaumia saaaana nguruwe nyie
Wewe mbwiga kama kimyaaaa!!!!We nyau mbu3 tuumie na huo ushuzi wenu wa kijinga,sie tunawaza makombe