Mnada wa magari yaliyotumika nchini

Mnada wa magari yaliyotumika nchini

Mnada wa magari ulishawahi kufanyika huko nyuma na ukafeli! Unakuta mwenye gari anataka tuseme 5mil. Unakuta kamisheni ya mnada na mwendesha mnada wanataka 10% si tunarudi kulekule kwa madalali? Alafu ongeza gharama za kuliendesha gari lako na kulirudisha na muda wa kusubiri hapo mnadani mpaka mteja alipende, shida yoote ya nini wakati naweza kuliuza likiwa nyumbani kwangu bila pressure! Ukisema uliache au ulilaze kuna gharama za ulinzi kila siku na kuchomolewa baadhi ya vipuri!
Tafuta kazi nyingine mleta uzi!
Dalali unajitahidi kum-disappoint mleta mada, wazo aliloleta ni zuri sana, amesema kampuni itachukua asilimia tano ya bei ya mauziano, sasa mbona unaongezea mpaka asilimia 10 am nayo yeye hajaitaja?

Amebuni vizuri sanaaa, nawewe boresha shughuli yako ya udalali!
 
Najichanga walau nikifikisha m5 nitafute alteza uko mjini walau yakuendea msikitin ijuma mpaka ijumaa
Ikawe kheri mkuu, kwasasa gari ni kama simu tu, ni muhim sana. Kama uwezo upo wa kumiliki we nununua tu
 
Back
Top Bottom