Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazeee wa vishokaaaaa ni hatari Kwa afyaNachukia sana madalali linapokuja suala la biashara.
Wanakata sana stimu hakyanani.Wazeee wa vishokaaaaa ni hatari Kwa afya
Dalali unajitahidi kum-disappoint mleta mada, wazo aliloleta ni zuri sana, amesema kampuni itachukua asilimia tano ya bei ya mauziano, sasa mbona unaongezea mpaka asilimia 10 am nayo yeye hajaitaja?Mnada wa magari ulishawahi kufanyika huko nyuma na ukafeli! Unakuta mwenye gari anataka tuseme 5mil. Unakuta kamisheni ya mnada na mwendesha mnada wanataka 10% si tunarudi kulekule kwa madalali? Alafu ongeza gharama za kuliendesha gari lako na kulirudisha na muda wa kusubiri hapo mnadani mpaka mteja alipende, shida yoote ya nini wakati naweza kuliuza likiwa nyumbani kwangu bila pressure! Ukisema uliache au ulilaze kuna gharama za ulinzi kila siku na kuchomolewa baadhi ya vipuri!
Tafuta kazi nyingine mleta uzi!
Najichanga walau nikifikisha m5 nitafute alteza uko mjini walau yakuendea msikitin ijuma mpaka ijumaaWanakata sana stimu hakyanani.
Ikawe kheri mkuu, kwasasa gari ni kama simu tu, ni muhim sana. Kama uwezo upo wa kumiliki we nununua tuNajichanga walau nikifikisha m5 nitafute alteza uko mjini walau yakuendea msikitin ijuma mpaka ijumaa
Bajeti ninayotaka kuindaa ni kama m5 maan mi sio mtu wa mizunguko sanaIkawe kheri mkuu, kwasasa gari ni kama simu tu, ni muhim sana. Kama uwezo upo wa kumiliki we nununua tu