Mnada wa magari yaliyotumika nchini

Dalali unajitahidi kum-disappoint mleta mada, wazo aliloleta ni zuri sana, amesema kampuni itachukua asilimia tano ya bei ya mauziano, sasa mbona unaongezea mpaka asilimia 10 am nayo yeye hajaitaja?

Amebuni vizuri sanaaa, nawewe boresha shughuli yako ya udalali!
 
Najichanga walau nikifikisha m5 nitafute alteza uko mjini walau yakuendea msikitin ijuma mpaka ijumaa
Ikawe kheri mkuu, kwasasa gari ni kama simu tu, ni muhim sana. Kama uwezo upo wa kumiliki we nununua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…