wanauza magari tu au kuna vingine pia?Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania?
View attachment 3533046
Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na zenye afya huchukuliwa na "wakubwa" na bei ya kianzio huwa ni juu sana. Kama unalenga kwenda kuchukua gari au samani, zingatia haya: Kwanza, nenda siku ya ukaguzi kesho (Januari 23) ukiwa na fundi wako; kumbuka hakuna dhamana. Pili, piga hesabu ya kodi na ushuru mapema ili usiumie baadaye, kuna raia watalia na kusaga meno.
View attachment 3533045
Usikurupuke kwa mihemko ya mnada! Je kama mdau wa Jamii Forums una chochote cha kumshauri mtu ambaye anatamani Jumamosi kuondoka na kitu Ubalozini? Na kwa wale wenye uzoefu, je kuna bidhaa zipi na zipi? Na makadirio ya kodi?
Kobaz hawaruhusiwi kwenye huo mnada🤣😂😅wanauza magari tu au kuna vingine pia?
Watendaji njaa ndio wanaendesha hii, sio USWametumia lugha ya Property Disposal Auction 😃
Hata mie nashangaa, kule kwao kitanda kikiwa na kunguni tu wanakitupa.US atupe jalalani watu wakaokote, anauza nn sasa
Sawa nendeni nyie dini ya wavaa pampazKobaz hawaruhusiwi kwenye huo mnada🤣😂😅
zanzibar, mombasa, tanga hii mikoa ina waislam wa kutosha kbs na ndiyo kumejaa mashoga wavaa pampaz, hapo vp?Sawa nendeni nyie dini ya wavaa pampaz
Unamaanisha nini mkuu?Kuna mdau kaniambia kuwa kjna makololo mengi sana
Hivi bangi za huko ni kali kuliko za Arusha?Kobaz hawaruhusiwi kwenye huo mnada🤣😂😅
Mkuu acha matusi makali.Sawa nendeni nyie dini ya wavaa pampaz
Hakuna tusi hapo,,, kwani wakristo hawavai Pampaz???Mkuu acha matusi makali.
Umaskini uko kote sasa wangetoa msaada wangepungukiwa nini?Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania?