Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

Hiyo minada inafanyika kila mwaka.

Ulalahoi/umasikini wako ni shida zako sio zao.
 
Wanatuona ni masikini sana toka walivyoanza kuuza vitu vyao vingi ni chakavu vya kutupa hata visitumike tena kwa matumizi ya majumbani daah kazi ipo hapo TBS ilitakiwa wawapitie hapo sio kuleta Uchafu mtaani...
 
Miafrika njaa itakimbilia kwenda kuuziwa takataka kwa bei ghali. Hizo property ni takataka za kutupa jalalani masikini wajiokotee. Kama vipi wangegawa tu kwa wahitaji kuliko kuwauzia watu takataka zao, wale ni matajiri wanataka kuingiza vitu vipya
 
Shida kubwa ni hao ma broker,,huwa wanatamka tu bei,na watanzania walivyo mafala wanapanda tuu shenzi zao,kitu cha laki kinakuja nunuliwa million
 
Tuwe na utaratibu wa kununua vitu bora vipya vya majumbani au ofisini tuachane na vitu chakavu ndio unapeleka nyumbani na madukani vipya vipo bei ya kawaida tu.
 
Kuna raia kaenda kucheck microwave anasema kesho kuna ujinga utatokea! Zile Microwave zenye hali njema zimewekwa pembeni kabsa
 
Usikurupuke kwa mihemko ya mnada! Je kama mdau wa Jamii Forums una chochote cha kumshauri mtu ambaye anatamani Jumamosi kuondoka na kitu Ubalozini? Na kwa wale wenye uzoefu, je kuna bidhaa zipi na zipi? Na makadirio ya kodi?

Sio mara ya kwanza kwa ubalozi wa US kuuza vitu kwa mnada na chimbo huwa ni hapo hapo Sinza...
 
Sio mara ya kwanza kwa ubalozi wa US kuuza vitu kwa mnada na chimbo huwa ni hapo hapo Sinza...
Kesho wataanza kazi sasa 😃 watu wakachukue land rovers
 
Bila shaka computer zote hazikuwa na memory kabisa, kwasababu za kiusalama.
 
Back
Top Bottom