Fedha nyingi????Pole ndg lakini kwa kuwa umeshaingia vumilia kumbe watu bado wana fedha nyingi sana mitaani....!
Pls-endelea kutupa ripoti za eneo hilo.
HakikaMinada ipo UNHCR unalipa 1,000,000 unaingia kwenye mnada unanunua kama ni generator, gari, furniture ukitoka zako unarudishiwa hio 1,000,000 hawataki watu wengi humo
Si yetuHii Kampuni Ya Yono Kwanini Inapewa Kazi Wakati Imejaa Ubabaishaji Mwingi
Na usiponunua,vp?Minada ipo UNHCR unalipa 1,000,000 unaingia kwenye mnada unanunua kama ni generator, gari, furniture ukitoka zako unarudishiwa hio 1,000,000 hawataki watu wengi humo
GTZ....bila shakaHakika
Ukienda Kasulu Unakuta Hakuna Ubabaishaji
Unarudishiwa either umenunua au hujanunua kitu...sidhani kama hawa wanaolipa 30,000 watarudishiwaNa usiponunua,vp?
Tatizo unapenda vya bureNipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana,, yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..
GTZ Hapo Nakumbuka Masanja Aliwahi Kuja Kwenye Mnada Akakutana Na Matajiri Wa Arusha Ikawa Hatari Yaani Watu Wana CashGTZ....bila shaka
KumbeSi yetu
Exactly #Daudi Emagine watu hapo wataingia kama 1000 na kila mtu analengo la kujipatia kagari maana huwezi lipia 30000 endapo huna dhamira ya kweli./Fedha nyingi????
Mnada una kiingilio?Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.