Mnada wa Yono na tamaa ya watendaji

Mnada wa Yono na tamaa ya watendaji

skfull

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
2,944
Reaction score
2,383
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.

Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana.

Yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..
 
Aisee pole na pengine unijuze hii imekaaje kwa maana mmelipia kiingilio halafu watu ni wengi ni kamba huwa hiyo minada watu anapata ahueni ya vitu au ni nini hasa.
Natanguliza shukrani
 
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana,, yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..
Tatizo unapenda vya bure
Waliosema bure ghali walikua wanakulenga wewe,subiri saa 10 mnada uanze zinauzwa gari mbili,mnada utaahirishwa mpaka kesho mlipe tena kiingilio
 
Fedha nyingi????
Exactly #Daudi Emagine watu hapo wataingia kama 1000 na kila mtu analengo la kujipatia kagari maana huwezi lipia 30000 endapo huna dhamira ya kweli./
Na hii ndio nia ya mkinga yono wasiingie hapo wabangaizaji.
 
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana,, yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..
Mnada una kiingilio?

Huyo Yono Kivela lazima ni mfuasi wa Chadema!
 
Back
Top Bottom