skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,383
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana.
Yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..