Mnada wa Yono na tamaa ya watendaji

Mnada wa Yono na tamaa ya watendaji

Exactly #Daudi Emagine watu hapo wataingia kama 1000 na kila mtu analengo la kujipatia kagari maana huwezi lipia 30000 endapo huna dhamira ya kweli./
Na hii ndio nia ya mkinga yono wasiingie hapo wabangaizaji.
Hivi siku ike Dokta Shika alitoa kiingilio kwenye mnada wa nyumba za Lugumi?
 
Nimemtuma kijana aende na cash kabisa, kufika ananipigia simu ananiambia kuna kiingilio cha 30,000. Hapo hapo nkamwambia rudi faster hakuna mnada hapo.
 
Tulikuwa wawili tumetoa elf 60, kuingia ndani IST zinauzwa bei ya nyumba , tumegeuza zetu tunakaribia nyumbani siav....ni bora ununue ist ya mil 7 kwa mtu ambapo utapata muda wa kuikagua na kuitest kuliko hizo unauziwa mil 8 hadi 9 na hujaitest bado....Ma IST yenyewe mabayaaaaaaa...by Mau voice
 
Basi kuna watu watakuja kulia sana kwa mwendo huo.
 
GTZ Hapo Nakumbuka Masanja Aliwahi Kuja Kwenye Mnada Akakutana Na Matajiri Wa Arusha Ikawa Hatari Yaani Watu Wana Cash
Duuu Sijawai kuona wala kusikia matajiri wana nunua vitu kwenye Minada au awakuwa matajir.
 
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana,, yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..

Vipi mnada umeendaje? Saa ngapi wameanza mnada huo?
 
Nipo viwanja vya wakala wa minada ya mahakama Yono Auction Mart, muda huu, makubaliano ni mnada uanze SAA 4 kamili.
Sasa kutokana na hali ya watu walivyo wengi na kiingilio cha elfu 30 wameamua kuvunja utaratibu kwa tamaa ya kupokea elfu 30 nyingi wameamua mpaka watu waishe mpaka sasa wamepokea kadi watu 700 za kiingilio na bado getini kuna watu wengi sana,, yaani kwa ufupi najuta kuingia kwenye mnada wa kiswahili namna hii..
Mkuu tupe mrejesho hali ya mnada inaendeleaje hapo
 
Ni kada mwenzenu huyo na ameshawahi kuwa mbunge huko Njombe kwa miaka mingi tu kupitia hicho chama chenu. Awamu hii iliyojaa ubaguzi wa kila aina haiwezi kutoa hiyo tenda ya udalali kwa mtu wa chadema. Maana ule msemo wa 'huyu ni mwenzetu' ndiyo umerudi sasa kama enzi zileee!
Kwani tenda kapewa na chama? Mboe na wenzake wamepoteana toka tarehe 6.11.2015. Wapi Maalim?
 
Back
Top Bottom