cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,763
- 1,432
Hivi siku ike Dokta Shika alitoa kiingilio kwenye mnada wa nyumba za Lugumi?Exactly #Daudi Emagine watu hapo wataingia kama 1000 na kila mtu analengo la kujipatia kagari maana huwezi lipia 30000 endapo huna dhamira ya kweli./
Na hii ndio nia ya mkinga yono wasiingie hapo wabangaizaji.