Mnadeal vipi na changamoto ya kusingiziwa unatoka na mke wa fulani wakati sio kweli ?

Mnadeal vipi na changamoto ya kusingiziwa unatoka na mke wa fulani wakati sio kweli ?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu..

Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori kibao sasa ghafla anaanza kugombana na mumewe sababu anazohadithia huyu mmama wa grocery ni kwamba Jamaa anatoka na mdada mwingine mtaani na anasema hayo wazi mbele za wateja wote ila cha ajabu zinaanza stori kitaani za uzushi kwamba wewe unatoka na huyo mmama.

Taarifa ambazo sio za kweli kwa sababu hujawahi kutoka naye out au kuonana naye nje na grocery haya kama mnavojua maneno Ya pombe Huwa mengi sometimes mnataniana na, matusi, kebehi, n.k.

Kwako wewe huna wasiwasi kwa sababu hufanyi kweli mapenzi na yeye HASWA ikizingatiwa inasemekana ni jambo la siri kwamba mmama huyu ana VVU ndo zaidi unazidi kumuogopa ila Kwa sababu hakuna kunyanyapaana au kutekelezana wewe una furahi naye mkikutana unamkopa unalipa ila tu ni kana kwamba kitaa haitaki mpendane na mtu maana hata ya familia zao yamejaa Chuki.

Tatizo ni wasiwasi kwamba maneno Ya uongo yanasambaa kwa kasi vibaya mno Mpaka unatamani uache kwenda hio grocery ukimbie fulani.
 
Nikushauri acha mazoea na wanawake walioolewa.Bota wakione unaringa
Ok. Ila kumbuka mtu unamkuta grocery kwenye sehemu yake ya kazi inawezekana vp usiwe na mazoea naye yaani uwe unaenda kunywa kimya kimya wa mbuzi kila siku msiongee??msishauriane mambo za kazi /biashara /michongo
 
Nikushauri acha mazoea na wanawake walioolewa.Bota wakione unaringa
Ok. Ila kumbuka mtu unamkuta grocery kwenye sehemu yake ya kazi inawezekana vp usiwe na mazoea naye yaani uwe unaenda kunywa kimya kimya wa mbuzi kila siku msiongee??msishauriane mambo za kazi /biashara /
wewe punguza Mazoea Mkuu
Mkuu unaposema mazoea una maanisha nini mtu kweli umkute sehemu ya biashara useme usifanye naye mazoea.. Hutoki naye popote ila unawasiliana kweli at least 2-4 calls per day.. Kukumbushiana hasa madeni na kupigana sound za kuyalipa basi.
 
Nikijuaga tu yule dada n mke wa mtu au yule binti n mwanafunzi..aiseee bac Huwa nakaa nao mbali maana hapo naepuka vitu viwili Kwa kati mmoja either kupakwa mafutaa au jela miaka 30
 
Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu.. Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery...
issue ni kuwa na mipaka mkuu story nyingi za pombe kijiweni zinaweza fanya mazoea kuzidi .
 
Ok. Ila kumbuka mtu unamkuta grocery kwenye sehemu yake ya kazi inawezekana vp usiwe na mazoea naye yaani uwe unaenda kunywa kimya kimya wa mbuzi kila siku msiongee??msishauriane mambo za kazi /biashara /

Mkuu unaposema mazoea una maanisha nini mtu kweli umkute sehemu ya biashara useme usifanye naye mazoea.. Hutoki naye popote ila unawasiliana kweli at least 2-4 calls per day.. Kukumbushiana hasa madeni na kupigana sound za kuyalipa basi.
Achana na wanawake wa watu kaka, ushauri rahis kufuatwa wenye manufaa makubwa na madhara yake ni hatar ukipuuzwa
 
Ok. Ila kumbuka mtu unamkuta grocery kwenye sehemu yake ya kazi inawezekana vp usiwe na mazoea naye yaani uwe unaenda kunywa kimya kimya wa mbuzi kila siku msiongee??msishauriane mambo za kazi /biashara /

Mkuu unaposema mazoea una maanisha nini mtu kweli umkute sehemu ya biashara useme usifanye naye mazoea.. Hutoki naye popote ila unawasiliana kweli at least 2-4 calls per day.. Kukumbushiana hasa madeni na kupigana sound za kuyalipa basi.

Jinsi unavyokomaa kutetea inaonesha hata huko mtaani huwa unakomaa hivyo hivyo kujitetea na mtu akisikiliza utetezi wako inaonesha kabisa unapigania watu wasikutenganishe na utamu wa mama mwenye pub...

Ngoja hadi pale utapotaka kuvunjiwa yai labda akili itakukaa sawa...
 
Back
Top Bottom