Mnadeal vipi na changamoto ya kusingiziwa unatoka na mke wa fulani wakati sio kweli ?

Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu..

Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori kibao sasa ghafla anaanza kugombana na mumewe sababu anazohadithia huyu mmama wa grocery ni kwamba Jamaa anatoka na mdada mwingine mtaani na anasema hayo wazi mbele za wateja wote ila cha ajabu zinaanza stori kitaani za uzushi kwamba wewe unatoka na huyo mmama.

Taarifa ambazo sio za kweli kwa sababu hujawahi kutoka naye out au kuonana naye nje na grocery haya kama mnavojua maneno Ya pombe Huwa mengi sometimes mnataniana na, matusi, kebehi, n.k.

Kwako wewe huna wasiwasi kwa sababu hufanyi kweli mapenzi na yeye HASWA ikizingatiwa inasemekana ni jambo la siri kwamba mmama huyu ana VVU ndo zaidi unazidi kumuogopa ila Kwa sababu hakuna kunyanyapaana au kutekelezana wewe una furahi naye mkikutana unamkopa unalipa ila tu ni kana kwamba kitaa haitaki mpendane na mtu maana hata ya familia zao yamejaa Chuki.

Tatizo ni wasiwasi kwamba maneno Ya uongo yanasambaa kwa kasi vibaya mno Mpaka unatamani uache kwenda hio grocery ukimbie fulani.
why ucheke na mke wa mtu na kukaa naye bar
 
Punguza kuchekacheka na wake za watu mjini watu wamechanganyikiwa saivi watakutanguliza bureee
 
Nikijuaga tu yule dada n mke wa mtu au yule binti n mwanafunzi..aiseee bac Huwa nakaa nao mbali maana hapo naepuka vitu viwili Kwa kati mmoja either kupakwa mafutaa au jela miaka 30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau wamekushauri acha mazoea na huyo mama ikiwezekana badili grocery kabisa vinginevyo utajikuta siku unapasuliwa yai au unaliwa tigo.
 
Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu..

Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori kibao sasa ghafla anaanza kugombana na mumewe sababu anazohadithia huyu mmama wa grocery ni kwamba Jamaa anatoka na mdada mwingine mtaani na anasema hayo wazi mbele za wateja wote ila cha ajabu zinaanza stori kitaani za uzushi kwamba wewe unatoka na huyo mmama.

Taarifa ambazo sio za kweli kwa sababu hujawahi kutoka naye out au kuonana naye nje na grocery haya kama mnavojua maneno Ya pombe Huwa mengi sometimes mnataniana na, matusi, kebehi, n.k.

Kwako wewe huna wasiwasi kwa sababu hufanyi kweli mapenzi na yeye HASWA ikizingatiwa inasemekana ni jambo la siri kwamba mmama huyu ana VVU ndo zaidi unazidi kumuogopa ila Kwa sababu hakuna kunyanyapaana au kutekelezana wewe una furahi naye mkikutana unamkopa unalipa ila tu ni kana kwamba kitaa haitaki mpendane na mtu maana hata ya familia zao yamejaa Chuki.

Tatizo ni wasiwasi kwamba maneno Ya uongo yanasambaa kwa kasi vibaya mno Mpaka unatamani uache kwenda hio grocery ukimbie fulani.
Leo una tia story kesho uta tia shahawa.

Kuwa makini kijana
 
Back
Top Bottom