Asante aisee. Kuna jambo huwa linanifikirisha kidogo. Ile harufu haitoki chembani. Yani nionavyo, ni kimba fresh kabisa vile mtu kamaliza akitoka tu, balaa. Pengine hiyo size na madirisha makubwa yaweza saidia. Asante sana nduguDah! Ukute kimba la mnywa komoni au bia kwa sana.kuna harufu hazivumiliki aisee.
Air freshner inasaidia kidogo,chumba cha choo kuwe kikubwa na dirisha kubwa la kuingiza hewa safi...
mkuu ndo maana tunashauriwa kabla ya kununua ramani mitaani na kuanza ujenzi, mchukue mchora ramani mpeleke kwny kiwanja moja ya vitu atakavyoviangalia ni jua linachomoza na kuzama wapi, lengo ni kujua mpangilio wa vyumba, sebule na vyoo vikaaje ili kuepusha icho ulicho kisema pamoja na hali ya joto na baridi ktk nyakati tofauti za kila siku. Ukinunua ramani kienyeji inaweza isiendane na mazingira ya kiwanja chako mfano choo kuwepo kunakotokea upepo harufu yote itaishia sebuleni na vyumbani iyo nyumba itakua kero maisha yake yote.Ninaomba ushauri. Nimechunguza nyumba zetu nyingi zina shida sana ya harufu toka msalani mtu akipiga tukio kubwa. Bora huko vyumbani mtapambana na hali zenu, hiki cha wote jirani na sebule ni changamoto jamani.
Ukute una wageni kisha mtu akaenda kutupia, kisha ukute ni wale watu "nya" inanuka kama wamemeza nyoka ni balaa. Mimi huwa ninaona aibu sana.
Hivi shida ni ufundi ama ndo ipo hivyo, lazima mchezee harufu mpaka mkome? Wenzetu mmefanyeje hadi hamteseki? Msaada tafadhali.
hoja ipo hapa, hasa kama choo kina ile 'U-trap' , 'nya' inakua ngumu kuondokani kimba fresh kabisa vile mtu kamaliza akitoka tu
binafsi nafikiri kwenye ile choo ya public, weka milango miwili, na kuwe na maji ya kutosha, na sio lazima kiwe karibu kabisa na sitting room. mlango wa kuingilia, halafu kwa ndani yake kuna mlango mwingine ndio ukute choo. occassionally, kama una kiwanja kikubwa weka choo ya wageni nje, ndani vyumba vyenu si vina self vyote, kile cha dharura sana kimoja kisitumiwe sana, watoto waambie waende kwenye vyoo vyao vyumbani kwao. mgeni mstaarabu sio rahisi kutitatita kwenye nyumba za watu. akilazimisha sana kwamonyeshe nje.Ninaomba ushauri. Nimechunguza nyumba zetu nyingi zina shida sana ya harufu toka msalani mtu akipiga tukio kubwa. Bora huko vyumbani mtapambana na hali zenu, hiki cha wote jirani na sebule ni changamoto jamani.
Ukute una wageni kisha mtu akaenda kutupia, kisha ukute ni wale watu "nya" inanuka kama wamemeza nyoka ni balaa. Mimi huwa ninaona aibu sana.
Hivi shida ni ufundi ama ndo ipo hivyo, lazima mchezee harufu mpaka mkome? Wenzetu mmefanyeje hadi hamteseki? Msaada tafadhali.
Asante aisee. Kuna jambo huwa linanifikirisha kidogo. Ile harufu haitoki chembani. Yani nionavyo, ni kimba fresh kabisa vile mtu kamaliza akitoka tu, balaa. Pengine hiyo size na madirisha makubwa yaweza saidia. Asante sana nduguDah! Ukute kimba la mnywa komoni au bia kwa sana.kuna harufu hazivumiliki aisee.
Air freshner inasaidia kidogo,chumba cha choo kuwe kikubwa na dirisha kubwa la kuingiza hewa safi.
Shimo la choo lisiwe mbali na chemba,mfumo wa kusafirisha maji taka ..fundi bomba auweke vizuri kuzuia harufu kurudi ndani,
Shimo pamoja na chemba viwe na bomba la kutolea hewa ( kupumua).
Angalau utapunguza tatizo.
Asante sanabinafsi nafikiri kwenye ile choo ya public, weka milango miwili, na kuwe na maji ya kutosha, na sio lazima kiwe karibu kabisa na sitting room. mlango wa kuingilia, halafu kwa ndani yake kuna mlango mwingine ndio ukute choo. occassionally, kama una kiwanja kikubwa weka choo ya wageni nje, ndani vyumba vyenu si vina self vyote, kile cha dharura sana kimoja kisitumiwe sana, watoto waambie waende kwenye vyoo vyao vyumbani kwao. mgeni mstaarabu sio rahisi kutitatita kwenye nyumba za watu. akilazimisha sana kwamonyeshe nje.
Shukrani sana nduguhoja ipo hapa, hasa kama choo kina ile 'U-trap' , 'nya' inakua ngumu kuondoka
nilichoona inabidi utumie maji mengi, ndoo nzima ya lita 10, umwage kwa nguvu 'nya' ipite kwa 'U-trap' iende shimoni
zile zana za kuflashia zinazopachikwa ukutani zina umuhimu mno,
Maisha yangu yote natumia choo cha ndaniAsante aisee. Kuna jambo huwa linanifikirisha kidogo. Ile harufu haitoki chembani. Yani nionavyo, ni kimba fresh kabisa vile mtu kamaliza akitoka tu, balaa. Pengine hiyo size na madirisha makubwa yaweza saidia. Asante sana ndugu
Asante sanamkuu ndo maana tunashauriwa kabla ya kununua ramani mitaani na kuanza ujenzi, mchukue mchora ramani mpeleke kwny kiwanja moja ya vitu atakavyoviangalia ni jua linachomoza na kuzama wapi, lengo ni kujua mpangilio wa vyumba, sebule na vyoo vikaaje ili kuepusha icho ulicho kisema pamoja na hali ya joto na baridi ktk nyakati tofauti za kila siku. Ukinunua ramani kienyeji inaweza isiendane na mazingira ya kiwanja chako mfano choo kuwepo kunakotokea upepo harufu yote itaishia sebuleni na vyumbani iyo nyumba itakua kero maisha yake yote.
Komoni ni kiboko,ukijisaidia harufu yake ni balaa.Dah! Ukute kimba la mnywa komoni au bia kwa sana.kuna harufu hazivumiliki aisee.
Air freshner inasaidia kidogo,chumba cha choo kuwe kikubwa na dirisha kubwa la kuingiza hewa safi.
Shimo la choo lisiwe mbali na chemba,mfumo wa kusafirisha maji taka ..fundi bomba auweke vizuri kuzuia harufu kurudi ndani.
Shimo pamoja na chemba viwe na bomba la kutolea hewa ( kupumua).
Angalau utapunguza tatizo.