Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,664
- 2,810
hii pia ni njia nzuri sana ,kuacha mpaka umalize ndio umwage maji unakuta harufu imeshasambaa mnoKitoe kitu huku ukimimina maji kunako sink
Yaani kisiweke pause kunako sink kiende direct.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii pia ni njia nzuri sana ,kuacha mpaka umalize ndio umwage maji unakuta harufu imeshasambaa mnoKitoe kitu huku ukimimina maji kunako sink
Yaani kisiweke pause kunako sink kiende direct.
Samahan kaka. Unaweza nitajia jina la sabuni hiyo ya maji... Ama hata picha yake. Nikaitafute. Napatikana Dar es Salaam Sinza.Kuna sabuni ya kuoshea choo ninatumia hakuna mtu amekuja akakosa isifia. Unamwaga tone kidogo balaa lake inapambana na harufu kama vile polisi inavyopambana na Chadema.
Inaitwa Yakari adimu sana. Ila nzuri balaa. Nitacheki kina kishop nanunuaga kama wameleta then nitakujuza..... Nipm ili nikumbuke mawasiliano yako.Samahan kaka. Unaweza nitajia jina la sabuni hiyo ya maji... Ama hata picha yake. Nikaitafute. Napatikana Dar es Salaam Sinza.
Hahahhah... N kwlNaona wengi hawajamuelewa mleta mada. Anaongelea ile harufu inauotoka wakati mtu anatoa mzigo.
Mbona simple tu,
Weka dirisha kubwa.
Weka milango miwili, na distance kati ya milango isipungue mita 1.
Hakikisha ukiwa ndani ya choo ukimuita mtu aliye sebuleni asiweze kusikia sauti.
Pia kwanin mlango wa choo utazamane na sebule? Siku ukipata mgeni mwenye aibu atashindwa kuingia chooni.
mkuu unatumia sabuni gani????Kuna sabuni ya kuoshea choo ninatumia hakuna mtu amekuja akakosa isifia. Unamwaga tone kidogo balaa lake inapambana na harufu kama vile polisi inavyopambana na Chadema.
OKDah hii hali niliikuta nilipoenda kwa babaangu mdogo choo ni cha ndani lakin hakikubuniwa madhubuti kwa kuzuia harufu ya chooni ije seblen. Yan mtu akipiga nya watu wote wa seblen adi dining mnateseka,
Lol ule mlango niliuharibu kimakusudi nikamleta fundi akaweka mlango wa kioo na aluminum tena sealed apo ndio ikawa ndio suluhu ya harufu ya chooni haikufika tena Seblen
Yakarimkuu unatumia sabuni gani????
Ukitoa na direction itapendeza mkuuInaitwa Yakari adimu sana. Ila nzuri balaa. Nitacheki kina kishop nanunuaga kama wameleta then nitakujuza..... Nipm ili nikumbuke mawasiliano yako.
Point ya tatu ndo dawa tu,Suluhisho
1.kama hujafunga gypsum fanya uweke gypsum
2.tiles za ukutani fanya zifike juu,zaidi ya nusu ya ukuta wa chooni (kwa ndani)
3.fundi aseti tena pitroit/elbow ya sink ikae vzur
4.Kama uliset bomba moja kwa moja ipelekayo mzigo kwenye sink, weka chemba yenye bomba ndefu,itasaidia kupunguza harufu.
5.Mlango wa toilet uwe wa panel mzito,hakikisha hakuna mianya ya kutoa sauti toka toilet kwenda maeneo mengine.
mkuu dah nilikuwaa sijui kama kuna feni za kutoa hewa nje, ngoja niingie chimbo nipate details, safi sanaa umeniongezea maujuzi kwenye nyumba nitakayotumia wakati najenga nyumba yangu ya kuishiiiiiiChoo ni kitu kinachotakiwa kipewe privacy kubwa sio mtu afanya yake mnasikia sauti za vishuz au harufu mbaya hii kitu kinatia aibu Sana .
Choo kinatakiwa kiwe madirisha makubwa hewa itoke na kuingia kwa wingi .
Pia kijengwe kwa style ambayo itampata privacy mtu aliyendani
Kuna baadhi ya vyoo nilishawai kuingia kulikuwa na vifen flani vinatoa hewa nje vyenyewe vimeunganishwa na taa ,choo kinakuwa na kiza kwhy ukiwasha taa na feni inajuwasha
View attachment 1961636