Mnadhibiti vipi harufu ya "nnya" isitapakae hapo sebuleni?

1 dirisha kubwa
2 epuka kuweka kioo dirishani tumia wavu wa mbu
3 epuka vent mlangoni
4 uwe na double door (kuongeza umbali)
5sebule jali hewa izunguke vyema...maana hata hizo sofa zikipata unyevu ni balaa
 
Ndio mkome kujenga kwa kutumia ramani za mafundi Michael na kufanya setting ya nyumba bila kujali uelekeo wa upepo
 
Hawa ni wale wanachagua ramani mtandaoni au wananunua za mitaani bila kumpeleka mtu site au kumuonesha block na plot zinavyoonekana .

Bila shaka watajifunza sasa
 
la msing fanya plan uwe ma choo cha nje kizuri weka quality sink basin shower tiles saf kabisa.fubga public ya ndan.watot wagen na members wengin wot nje hata wewe mwenyew ubakua free

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanya tukio wasiwe wanatupia pale juu, mzigo uingie moja kwa moja kwenye shimo yani maji.

Au mchana kitumike choo cha nje.
 
Miongoni mwa vitu vinavyosababisha pia Ni dirisha za choo kuangalia upepo unakotokea orientation ya jengo Ni swala la kuzingatia sana .
 
Chumba cha choo kinapokuwa na eneo finyu, mgandamizo wa hewa huwa mkubwa na hutoka kupitia penyo za mlango wa choo au pindi mlango unapofunguliwa.
Hivyo
1. Urefu wa chumba cha choo kutoka dirishani mpaka mlangoni angalau uwe mita 2.5
2. Saizi ya dirisha la chooni isipungue kimo cha mita 0.8 au sentimita 80. Ulalo ni mita 0.8 au zaidi
3. Hakikisha mlango wa choo hauna penyo pale unapofungwa
4. Kama hakuna sababu ya kufunga dirisha la choo ni vema likabaki wazi muda wote. Hapa mtu akijisaidia, atakuta tayari kuna hewa safi ya kutosha kwenye chumba cha choo ambayo itameza hewa chafu atakayo izalisha
5. Kwa hewa chafu inayorudi kutoka kwenye shimo la maji taka, ventilation pipe ni muhimu.
Pia zipo bomba za maji taka zenye gate valve isiyoruhusu hewa chafu kurudi kwenye choo (ukiflashi, gate valve inafunguka kuruhusu uchafu kupita baada ya hapo inajifunga kuzuia hewa chafu isirudi)
.
Kwa leo ni hayo tu
 
Asante sana mkubwa
 
Suluhisho
1.kama hujafunga gypsum fanya uweke gypsum
2.tiles za ukutani fanya zifike juu,zaidi ya nusu ya ukuta wa chooni (kwa ndani)
3.fundi aseti tena pitroit/elbow ya sink ikae vzur
4.Kama uliset bomba moja kwa moja ipelekayo mzigo kwenye sink, weka chemba yenye bomba ndefu,itasaidia kupunguza harufu.
5.Mlango wa toilet uwe wa panel mzito,hakikisha hakuna mianya ya kutoa sauti toka toilet kwenda maeneo mengine.
 
Kikubwa ni usafi tu
 
Weka choo cha kukaa. Weka ile 'perfume' inayoitwa air freshner.
 
Weka airfreshner chooni,ili unapomaliza kujisaidia kama choo kipo karibu na sitting room uipulizie ya kutosha,pia usikimbilie kutoka huko ndani,vuta muda kidogo angalau harufu ipungue itasaidia.Hivi hata wale wenye hela zao huwa wakitoka kunakuwa na harufu kali au ni sisi walala hoi ndio inakuwa balaa....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…