Mnadhibiti vipi harufu ya "nnya" isitapakae hapo sebuleni?

Kwahiyo atabaki na mavi yake [emoji1787]
Kibaya uwe unaharisha kwa kutoa sauti kama sabufa utaghairi kunya
 
Hili ni tatizo kwa nyumba nyingi

Unajua tatizo linaanzia kuwa Wabongo wanawekaadirisha madogo sana ya vyoo na huwa sijui sababu ni IPI, hivyo hewa haitoki nje ya kutosha

Pia mahali penye shimo la nje ni muhimu sana kuwekwa bomba zile za PVC kwaajili ya kutoa harufu nje kutoka shimoni moja kwa moja.
 
Kwanza dirisha la choo hakitakiwi kifungwe kabisa. Wanaofunga huwa wanafunga kwasababu ipi hasa?

Pia ni kwanini watu wasiweke bomba la kutoa harufu nje pale kwny shimbo kubwa la choo? Kwasababu bila hivyo ni lazima harufu itarudi tu ndani.
 
Sewage system haikuwa sawa.

Maji pia yamwage ndo nzima kwa ajili ya usafi wa afya zenu na kuondoa harufu hiyo.

Mafundi wapya wengine wape kazi hiyo warekebishe mabomba na mifereji ya majitaka.

AU: Acha kutumia choo cha ndani kwa siku 30 ukimwagia kreti zima la soda za COCA au PEPSI zipite siku 30 na ndiyo uanze kukitumia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…