kipindi cha mahusiano kwa asilimia kubwa huwa ni sanaa, kila mtu huficha madhaifu yake ila mkiingia ndoani ndio mtajua rangi zenu halisi. wengi ni mashahidi wa hiliKubali tu umeyatimba.
Ulitumia hisia wakati unaanzisha mahusiano hukuangalia sifa zingine.
Mfano: Akili yake, uwezo wa kujieleza, n.k.
Jikaze kiume vumilia haupo peke yako kati ya watu wenye mizigo mizito majumbani mwao.
Wengi hawapendi kuambiwa ukweli, ukimwambia ukweli atakuona una gubu, una mkera na unaongea sana.naendelea kujitahidi labda anaweza kubadilika
hili pia nimeliona, ana hii hulka. unaweza kumuambia mbona kitu fulani kimeharibika Kulikoni, ataanza kujishuku kama vile unamwambia yeye ndio kaharibu badala ya kusema aliye haribu ni mtotoWengi hawapendi kuambiwa ukweli, ukimwambia ukweli atakuona una gubu, una mkera na unaongea sana.
ni sahihi mkuu, lakini kwa mambo madogo madogo ya nyumbani haihitajiki mtu kusimamiwa na mwenzake. Mama mwenye nyumba inatakiwa awe kinara wa kumanage mambo mbalimbali ndani ya nyumba, sasa ikiwa kinyume chake panakuwa na tatizoKatika hali kama hiyo ndio utaelewa maana ya "ni viumbe dhaifu lakini ishini nao kwa akili" ukisema umuache huyo unaweza kuchukua mwingine akawa na shida afadhali huyo wa sasa hivi, usione tuu ndoa imedumu muda mrefu kwa furaha na amani kuna mmoja kajifanya fala ili maisha yasonge bila shida
Mkuu acha ubwege, mpandishe cheo huyo. Akiwa mke mkubwa atajifunza kupitia mke mdogo. Hakuna haja ya kuumiza kichwa na jitu lisiloelewa.Kichwa cha habari chahusika.
-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani
-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake
-Hazingatii alicho nacho hadi kinapitwa na muda wake wa matumizi na kusababisha hasara
-Akiambiwa kitu hakijakaa sawa anahisi kuonewa na kulalamika ilihali yeye ndio muhusika
Kwa ustawi wa familia mnadili vipi na mwanamke wa hivi?
Ishi nae kwa akili tu hakuna namnahili pia nimeliona, ana hii hulka. unaweza kumuambia mbona kitu fulani kimeharibika Kulikoni, ataanza kujishuku kama vile unamwambia yeye ndio kaharibu badala ya kusema aliye haribu ni mtoto
Na cha kushangaza ni kwamba wengi wao ni magoigoi kitandani. Wanakera sana hawa watu aisee!Wengi hawapendi kuambiwa ukweli, ukimwambia ukweli atakuona una gubu, una mkera na unaongea sana.
Kupandisha cheo napo inahitajika sifa na vigezo kwa mwanaume, mimi bado sina hizo sifa na vigezo. kwa hiyo hilo kwa sasa haliwezekaniMkuu acha ubwege, mpandishe cheo huyo. Akiwa mke mkubwa atajifunza kupitia mke mdogo. Hakuna haja ya kuumiza kichwa na jitu lisiloelewa.
ana kitu inaitwa perfection sense πhili pia nimeliona, ana hii hulka. unaweza kumuambia mbona kitu fulani kimeharibika Kulikoni, ataanza kujishuku kama vile unamwambia yeye ndio kaharibu badala ya kusema aliye haribu ni mtoto
Na wanawake wa aina hii hata kutandika kitanda hawawezi, wanamuachia house girl. Pia kufua chupi za mumewe anampa house girl afue. Wana shida kubwa sana.Kichwa cha habari chahusika.
-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani
-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake
-Hazingatii alicho nacho hadi kinapitwa na muda wake wa matumizi na kusababisha hasara
-Akiambiwa kitu hakijakaa sawa anahisi kuonewa na kulalamika ilihali yeye ndio muhusika
Kwa ustawi wa familia mnadili vipi na mwanamke wa hivi?
100%Na wanawake wa aina hii hata kutandika kitanda hawawezi, wanamuachia house girl. Pia kufua chupi za mumewe anampa house girl afue. Wana shida kubwa sana.
Aliangalia m@t@ko eeh? Hilo nalo ni tatizo kubwa sanaKubali tu umeyatimba.
Ulitumia hisia wakati unaanzisha mahusiano hukuangalia sifa zingine.
Mfano: Akili yake, uwezo wa kujieleza, n.k.
Jikaze kiume vumilia haupo peke yako kati ya watu wenye mizigo mizito majumbani mwao.