Mnadili vipi na mwanamke ambaye ni careless

Mnadili vipi na mwanamke ambaye ni careless

Kubali tu umeyatimba.
Ulitumia hisia wakati unaanzisha mahusiano hukuangalia sifa zingine.
Mfano: Akili yake, uwezo wa kujieleza, n.k.
Jikaze kiume vumilia haupo peke yako kati ya watu wenye mizigo mizito majumbani mwao.
kipindi cha mahusiano kwa asilimia kubwa huwa ni sanaa, kila mtu huficha madhaifu yake ila mkiingia ndoani ndio mtajua rangi zenu halisi. wengi ni mashahidi wa hili
 
Katika hali kama hiyo ndio utaelewa maana ya "ni viumbe dhaifu lakini ishini nao kwa akili" ukisema umuache huyo unaweza kuchukua mwingine akawa na shida afadhali huyo wa sasa hivi, usione tuu ndoa imedumu muda mrefu kwa furaha na amani kuna mmoja kajifanya fala ili maisha yasonge bila shida
 
ni sahihi mkuu, lakini kwa mambo madogo madogo ya nyumbani haihitajiki mtu kusimamiwa na mwenzake. Mama mwenye nyumba inatakiwa awe kinara wa kumanage mambo mbalimbali ndani ya nyumba, sasa ikiwa kinyume chake panakuwa na tatizo
 
Kichwa cha habari chahusika.

-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani

-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake

-Hazingatii alicho nacho hadi kinapitwa na muda wake wa matumizi na kusababisha hasara

-Akiambiwa kitu hakijakaa sawa anahisi kuonewa na kulalamika ilihali yeye ndio muhusika

Kwa ustawi wa familia mnadili vipi na mwanamke wa hivi?
Mkuu acha ubwege, mpandishe cheo huyo. Akiwa mke mkubwa atajifunza kupitia mke mdogo. Hakuna haja ya kuumiza kichwa na jitu lisiloelewa.
 
Mkuu acha ubwege, mpandishe cheo huyo. Akiwa mke mkubwa atajifunza kupitia mke mdogo. Hakuna haja ya kuumiza kichwa na jitu lisiloelewa.
Kupandisha cheo napo inahitajika sifa na vigezo kwa mwanaume, mimi bado sina hizo sifa na vigezo. kwa hiyo hilo kwa sasa haliwezekani
 
hili pia nimeliona, ana hii hulka. unaweza kumuambia mbona kitu fulani kimeharibika Kulikoni, ataanza kujishuku kama vile unamwambia yeye ndio kaharibu badala ya kusema aliye haribu ni mtoto
ana kitu inaitwa perfection sense 🐒

ati hafanyagi makosa na wala hakosei, yupo sahihi always. ati wew ndie unashida unamfatilia sana ama unajidai sana kwa vile umesoma na unapesa 🤓

suluhu ni kumpatia na kumuongezea majukumu yake ya uzazi na malezi tu 🐒
 
Kichwa cha habari chahusika.

-Hamna mpangilio wa ratiba ya nini akifanye kwa muda gani

-Anasema jambo lenye kuhitaji utatuzi bila kufafanua kama vile anayeambiwa yupokwenye akili yake

-Hazingatii alicho nacho hadi kinapitwa na muda wake wa matumizi na kusababisha hasara

-Akiambiwa kitu hakijakaa sawa anahisi kuonewa na kulalamika ilihali yeye ndio muhusika

Kwa ustawi wa familia mnadili vipi na mwanamke wa hivi?
Na wanawake wa aina hii hata kutandika kitanda hawawezi, wanamuachia house girl. Pia kufua chupi za mumewe anampa house girl afue. Wana shida kubwa sana.
 
Ukiweza kuniambia, ni muda gani umeishi nae... nitaweza kukwambia uvumilie atabadilika ama umuache kwasababu hawezi kubadilika.
 
Kubali tu umeyatimba.
Ulitumia hisia wakati unaanzisha mahusiano hukuangalia sifa zingine.
Mfano: Akili yake, uwezo wa kujieleza, n.k.
Jikaze kiume vumilia haupo peke yako kati ya watu wenye mizigo mizito majumbani mwao.
Aliangalia m@t@ko eeh? Hilo nalo ni tatizo kubwa sana
 
Back
Top Bottom