Uyu ni mke wangu kabsa asee
1) kwanza ukimwambia au kumshauri kitu ana bisha ana jiona anajua afu mwisho wa siku ana haribu kwel. Aki haribu ana jirudi akitaka umsaidie kusolve.
2) Ana penda kufanya kile kitu usicho penda au ulicho mkataza asi fanye ,yeye ata kifanya ili aone kuna nini hadi ume mkataza ,
3)Ni mtu wa kulia lia haraka , na kuomba omba msamaha kila saa ina nikwaza sana hii.
4)ni mchunguzi sana unaweza sema kitu afu uka sahau ukapita ata mwezi ,siku mki kosana ata kirudisha tena akiwa na new findings.
5)hana chukulia mambo kiwepesi sana hana u seriouse wowote kabsa whike mimi ni mtu nnae penda mambo yalio nyooka sifanyi kitu kama naona kita nisumbua akili au akija kamilika.
Njia nilizo tumia kupunguza tatizo ni kama kumkatalia baadhi ya mambo ambayo naona yata leta matatizo hata kama aki chukia,
kuto msaidia 100% kwa kila jambo bali namuonesha njia tu kwa 50% na jinsi ya kufanya ila afanye mwenyewe asi zoee sana hata siku nisipo kuwepo.
Mengine yenye impact nayaacha kama yalivyo ajifunze ata kama uwezo wa kusolve nnao. mfano wakati kujifungua mtoto wa kwanza nili mwelekeza kabsa ahakikishe jina la mtoto lina kua sahihi hili tusipate shida badae lakini mwisho wa siku kaandika tofauti herufi zime kosewa , hadi chet kime toka lime kosewa .hili swala nlimwacha apambane nalo mwenyewe tena kwa nguvu nlicho taka ni alete chet atajua atapo enda.