calvinminja
Member
- Feb 15, 2018
- 25
- 16
Naomba kujua tofauti ya MUONGEAJI na MZUNGUMZAJI kwa upana wake na marefu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongeaji ni kama sizonje na mzungumzaji ni mtu mwenye hekima na busaraNaomba kujua tofauti ya MUONGEAJI na MZUNGUMZAJI kwa upana wake na marefu yake.
ha ha nimekuelewa sana kaka mkubwaMuongeaji ni kama sizonje na mzungumzaji ni mtu mwenye hekima na busara
unavoona Tanzania inawasiasa waongeaji au wazungumzaji?Kuongea ni kutumia mdomo, kuzungumza ni kutumia mdomo kwa busara/hekima
Tanzania inawanasiasa waongeaji sana kuliko wazungumzaji.unavoona Tanzania inawasiasa waongeaji au wazungumzaji?
inabidi ifike pahala watanzania waijue thamani yak na umuhimu wao katika nchi hiiTanzania inawanasiasa waongeaji sana kuliko wazungumzaji.
Naomba kujua tofauti ya MUONGEAJI na MZUNGUMZAJI kwa upana wake na marefu yake.
Mzungumzaji mtu mwenye sifa ya kuweza kueleza mambo kwa namna nzuri na kwa kupendeza. Haijalishi kama ana hekima au hana.Naomba kujua tofauti ya MUONGEAJI na MZUNGUMZAJI kwa upana wake na marefu yake.