Mnaelewa nini wadau?

Mnaelewa nini wadau?

Kuongea ni kutumia mdomo, kuzungumza ni kutumia mdomo kwa busara/hekima
 
Naomba kujua tofauti ya MUONGEAJI na MZUNGUMZAJI kwa upana wake na marefu yake.
Mzungumzaji mtu mwenye sifa ya kuweza kueleza mambo kwa namna nzuri na kwa kupendeza. Haijalishi kama ana hekima au hana.
Mwongeaji ni mtu mwongo mwongo hana facts, hapangilii maongezi lolote ataweka.
 
Nimesoma maelezo yenu wakuu ila nimebaki na swali; tofauti ya mazungumzo na maongezi ni nini??

Kwa tafsiri tajwa hapo juu, maongezi ni kama KUPIGA ZOGO.
 
Back
Top Bottom