Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tatizo wanakasirika kwa nguvu. Yani huku kuna watu wanaona kila kitu hakiwezekani maishani kisa kwao vimeshindikana
Vinawezekana mnoo kama mwanaume mtoaji na anakupenda kwenye mapenzi Kila kitu kinawezekana muhimu uwezo tu nshaona watu wanahongwa mpk nyumba za maana ,hayo magari naona kawaida tu tena ni mahawara tu,seuse mke kama kipo watu wanapewa sana tu,sema wao hawajawapata hao wanaume au wanaume hawana hizo pesa watafute pesa a tu hakuna namnaa!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Zama anapenda mahusiano na wanapendana na yule kijana.

Wengine tunahate huku maana uwezo wa kutoa hawana na wapenzi wao uwezo wa kuwapa hawana vile vile wanabaki kuleta makasiriko
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] exactly tunachukia kwa kua hatuna wanaotupenda kama Shabani na haa wanaume hawana hizo fedhaa
 
Zamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana

Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]
images-1092.jpg
 
Zamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana

Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]View attachment 2411700
mkuu samahni mbonkama pongezi yako ina walakini[emoji3061][emoji3061]
 
Mambo kama haya yanazidi kuwapa sononeko vijana wengi sana na kuzidi kukata tamaa... vijana wengi wanapambana sana na wachache kati yao huishia kununua used Noah, IST na gari zingine za bei rahisi. Inapotokea huyu mume wa Zamaradi ambaye pia ni ndugu wa waziri mkuu kumzawadia mkewe Range mpya lazima iibue maswali mengi sana. Ifike mahali viongozi wetu na familia zao waache show offs kama hizi ili kuondoa hisia kwamba keki ya taifa inaliwa na kikundi cha watu wachache. Wapeane zawadi kimyakimya na hakuna haja ya ku-jimwambafy kwenye umati wa maskini.
 
Zamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana

Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]View attachment 2411700
Sahih kbsa mkuu Bab j , HV mkuu ujapandisha Uzi mda mrefu was shemela mam j
 
Mambo kama haya yanazidi kuwapa sononeko vijana wengi sana na kuzidi kukata tamaa... vijana wengi wanapambana sana na wachache kati yao huishia kununua used Noah, IST na gari zingine za bei rahisi. Inapotokea huyu mume wa Zamaradi ambaye pia ni ndugu wa waziri mkuu kumzawadia mkewe Range mpya lazima iibue maswali mengi sana. Ifike mahali viongozi wetu na familia zao waache show offs kama hizi ili kuondoa hisia kwamba keki ya taifa inaliwa na kikundi cha watu wachache. Wapeane zawadi kimyakimya na hakuna haja ya ku-jimwambafy kwenye umati wa maskini.
Wala Hakuna shid kwa kijana shabani na wasi wasi tu wako ila hkn tatizo pesa anayo sas afunge nn
 
Zamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana

Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]View attachment 2411700
Na ni hakiyake wakat Shabani anamuoa mastar wenzie waliongea sana kaolewa na mfanyabiashara mdogo Hana pesa sio maarufu lakin dada wa watu akavumilia wapo pamoja Hadi Leo
 
Vinawezekana mnoo kama mwanaume mtoaji na anakupenda kwenye mapenzi Kila kitu kinawezekana muhimu uwezo tu nshaona watu wanahongwa mpk nyumba za maana ,hayo magari naona kawaida tu tena ni mahawara tu,seuse mke kama kipo watu wanapewa sana tu,sema wao hawajawapata hao wanaume au wanaume hawana hizo pesa watafute pesa a tu hakuna namnaa!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kabisa mkwe. Mwanaume awe na hela halafu akupende utafurahi mbona
 
Back
Top Bottom