Vinawezekana mnoo kama mwanaume mtoaji na anakupenda kwenye mapenzi Kila kitu kinawezekana muhimu uwezo tu nshaona watu wanahongwa mpk nyumba za maana ,hayo magari naona kawaida tu tena ni mahawara tu,seuse mke kama kipo watu wanapewa sana tu,sema wao hawajawapata hao wanaume au wanaume hawana hizo pesa watafute pesa a tu hakuna namnaa!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tatizo wanakasirika kwa nguvu. Yani huku kuna watu wanaona kila kitu hakiwezekani maishani kisa kwao vimeshindikana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] exactly tunachukia kwa kua hatuna wanaotupenda kama Shabani na haa wanaume hawana hizo fedhaaZama anapenda mahusiano na wanapendana na yule kijana.
Wengine tunahate huku maana uwezo wa kutoa hawana na wapenzi wao uwezo wa kuwapa hawana vile vile wanabaki kuleta makasiriko
😂😂😂😂😂Hampendi kiki tu, au nipost lile bango la picha yako walilo weka kule dubai
Ilo suala ni janga kubwa kwa taifa hata Necta huwa wanaingiza icho kipengele cha kurekebisha sentence ambazo zimekosewa na bado kuna watu wanakosa 😂😂😂Hivi we upoje? R na l ni nzigo sana aisee
Kwan kuna ubaya lakn mtu akilea mtt 😃Mkwe wanaume wetu wa kiafrica kuzaa nje ni kawaida kabisa. Bora mwenzetu mume Kazaa nje kampa range, mwingine angeishia kuombwa msamaha na kuletewa mtoto alee
Najua hupendi kiki , upo humble mtu wa kujishusha sana 🙂🙂😂😂😂😂😂
Bwana bwana!! Sie mabango tunawekwa ni ya kwenye vicoba tu.
mkuu samahni mbonkama pongezi yako ina walakini[emoji3061][emoji3061]Zamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana
Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]View attachment 2411700
Madeni ya vicoba yamenihumble😂😂😂Najua hupendi kiki , upo humble mtu wa kujishusha sana 🙂🙂
Sahih kbsa mkuu Bab j , HV mkuu ujapandisha Uzi mda mrefu was shemela mam jZamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana
Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]View attachment 2411700
Wala Hakuna shid kwa kijana shabani na wasi wasi tu wako ila hkn tatizo pesa anayo sas afunge nnMambo kama haya yanazidi kuwapa sononeko vijana wengi sana na kuzidi kukata tamaa... vijana wengi wanapambana sana na wachache kati yao huishia kununua used Noah, IST na gari zingine za bei rahisi. Inapotokea huyu mume wa Zamaradi ambaye pia ni ndugu wa waziri mkuu kumzawadia mkewe Range mpya lazima iibue maswali mengi sana. Ifike mahali viongozi wetu na familia zao waache show offs kama hizi ili kuondoa hisia kwamba keki ya taifa inaliwa na kikundi cha watu wachache. Wapeane zawadi kimyakimya na hakuna haja ya ku-jimwambafy kwenye umati wa maskini.
Na ni hakiyake wakat Shabani anamuoa mastar wenzie waliongea sana kaolewa na mfanyabiashara mdogo Hana pesa sio maarufu lakin dada wa watu akavumilia wapo pamoja Hadi LeoZamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana
Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]View attachment 2411700
Kabisa mkwe. Mwanaume awe na hela halafu akupende utafurahi mbonaVinawezekana mnoo kama mwanaume mtoaji na anakupenda kwenye mapenzi Kila kitu kinawezekana muhimu uwezo tu nshaona watu wanahongwa mpk nyumba za maana ,hayo magari naona kawaida tu tena ni mahawara tu,seuse mke kama kipo watu wanapewa sana tu,sema wao hawajawapata hao wanaume au wanaume hawana hizo pesa watafute pesa a tu hakuna namnaa!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hamna ubaya. Ni damu ya mume alelewe tuKwan kuna ubaya lakn mtu akilea mtt [emoji2]
Page ya ujinga ungeipotezea tuu, umefeli tuu huna akili unaonekana, wivu na roho mbaya tuuUnakesha kwenye page za ujinga kufatilia watu una screenshot unakuja fungua uzi
Zamaradi Ni Nani Kwanza ,
Afu wewe ndo tukuulize una feli wapi mbona bwana ako hajakupa chochote