Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Nilitaka kukushanga Kama utakwenda kinyume na [emoji23][emoji23] mm ,mnk huwa nakueleewa Sana jinsi mlivyo mbana mkuu wa fasihi akatokomeaa kusiko julikana


Mm sioni tatizo awe kajininulia au amenunua kikubwa tumuombee
Sikupingi mwamba,
Nipo na wewe bega kwa bega [emoji38]

Hata hivyo, ni mjinga pekee ambaye atashindwa kumpa hongera huyo mwanamama, mimi mwenyewe ndoto yangu ni kusukuma Lamborghini moja matata [emoji120]
 
Alfu Mkuu Extrovert umesisikia bond za nbc bank wanatoa 10% kila mwaka je umesisikia na je zinalipa au uzushi tu

Wanasema wanatoa kila baada ya miezi sita unakula faida embu fatilia alfu unitonjee mkuu
Zinalipa 5% kila miezi sita kwa mwaka ndio 10%!

Ukiwa na 100M unapata 10M kwa mwaka ina maana mwezi wa 6 unalokota 5M then wa 12 unalokota 5M ingine.
 
Unakesha kwenye page za ujinga kufatilia watu una screenshot unakuja fungua uzi

Zamaradi Ni Nani Kwanza ,

Afu wewe ndo tukuulize una feli wapi mbona bwana ako hajakupa chochote
Hizi hasira hatari sana

Nimecheka kifala sana
 
Zinalipa 5% kila miezi sita kwa mwaka ndio 10%!

Ukiwa na 100M unapata 10M kwa mwaka ina maana mwezi wa 6 unalokota 5M then wa 12 unalokota 5M ingine.
Siyo mbaya Sana mkuu ukitupia miatatu HV au Mia tano itakuwa POA Sana
 
Hizi hasira hatari sana

Nimecheka kifala sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Agera 1 muraaa bado Kuna mtu anakuchekaaa


Tatizo muraa umemfokea zamaradi vibaya Sana [emoji38]
Au ulimtongoza nn akakuchomolea ndio maana umekuja kudisc
 
Ile mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
Bora useme wewe!πŸ₯°
 
Ngoja tuongeze ongeze ufundi hata huku ukubwani 🀣🀣 tuone miugiza.
kama uko stage ya ukubwani pumzisha mwili wako,huku vijana wanatoa na vilivyokatazwa na Mungu,kuhonga Range sio mchezo mchezo
 
Zamaradi ana fanya kazi gani ya kumfanya anunue Range Rover Vogue?? Na kama kanunua kwa pesa yake basi anastahili pongezi mnoooooooooo mkwanja anao
Kwahiyo unaamini kama zama hawezi kujinunulia mmewe ndo kaweza?πŸ˜‚ huwajui wadada wa kibongo
 
Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Exactly my thoughts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…