Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Sikupingi mwamba,Nilitaka kukushanga Kama utakwenda kinyume na [emoji23][emoji23] mm ,mnk huwa nakueleewa Sana jinsi mlivyo mbana mkuu wa fasihi akatokomeaa kusiko julikana
Mm sioni tatizo awe kajininulia au amenunua kikubwa tumuombee
Nipo na wewe bega kwa bega [emoji38]
Hata hivyo, ni mjinga pekee ambaye atashindwa kumpa hongera huyo mwanamama, mimi mwenyewe ndoto yangu ni kusukuma Lamborghini moja matata [emoji120]