Kweli waige hapo hajamhonga kampa mkeweNdio acha aongee muige hili
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ile mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
Nitafuteje hela nlizonazo tayariEeeeh poor you...... Tafuta helaaa kijana acha makasiriko
Hivi we upoje? R na l ni nzigo sana aisee
Haya bhn, acha matusi
Haha mnamchukulia poa zam ehUwongo wa hali ya juu huo!
Huyo mdada ni mpumbavu sana yaani kauza nyumba aliyo rithishwa na Ruge hapa Masaki!
Pesa ya mgao wa watoto wote wa Ruge, wakagawana na wamama wengine waliozaa na Ruge, mpumbavu mgao wake kaenda kununua Range alafu anadanganya kapewa zawadi na mume, fool of [emoji90] walahi!
Nincompoop [emoji35]
Haha mnamchukulia poa zamUwongo wa hali ya juu huo!
Huyo mdada ni mpumbavu sana yaani kauza nyumba aliyo rithishwa na Ruge hapa Masaki!
Pesa ya mgao wa watoto wote wa Ruge, wakagawana na wamama wengine waliozaa na Ruge, mpumbavu mgao wake kaenda kununua Range alafu anadanganya kapewa zawadi na mume, fool of [emoji90] walahi!
Nincompoop [emoji35]
Kwaiyo ndiyo atukane watu ovyoo kama kanywa komoni ya kinyakyusaaaa ebooooWatu wana stress [emoji30]
Ova
Utakuta kwao nyumba ya makuti na dirisha la kanga za chama pendwasafi sana kijana sheby,honga kaka.wkt ni huu
Range za watu sisi zinatuhusu nini??Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.
Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.
Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.
Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
Aiseee ule mchuma wake Autobiography sio wa kitoto T 376 EAW ,zamaradi ametisha.Nimeikuta hukoo kwa wasimamia kuchaaa
Wabongo nuksiiiii[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2412482