Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Ile mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama kajinunuli basi Zama atakua na ukwasi mnene
 
Uwongo wa hali ya juu huo!
Huyo mdada ni mpumbavu sana yaani kauza nyumba aliyo rithishwa na Ruge hapa Masaki!
Pesa ya mgao wa watoto wote wa Ruge, wakagawana na wamama wengine waliozaa na Ruge, mpumbavu mgao wake kaenda kununua Range alafu anadanganya kapewa zawadi na mume, fool of [emoji90] walahi!
Nincompoop [emoji35]
 
Haha mnamchukulia poa zam eh

Ova
 
Haha mnamchukulia poa zam

Ova
 
Show off za kitoto sana hizi..ngoja akina jike shupa wamkwapue si wanaume kwani tuna akili???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.

Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.

Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.

Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
Range za watu sisi zinatuhusu nini??
 
Back
Top Bottom